Kisoda2
JF-Expert Member
- May 30, 2008
- 2,475
- 745
Usisahau John 4:16.Ni kweli kabisa Mtumishi.
wanaipenda hiyo kuwa nitawaletea msaidizi. eti msaidizi ni Mudy muzung!
Swali, Kwanini Yesu aseme nitamleta msaidizi halafu huyo msaidizi anakuja kuwa na cheo kikubwa kuliko aliyemleta?( Kisilamu silamu - Yesu ni Nabii wa kawaida tu)
line hiyo tu ndiyo sahihi kwao, na ndiyo haijawa corrupted kwenye Bible. Ukisoma 4:1-15 na 17- 18 na kuendelea hawataki. maana huko hiyo mistari inawakamua ngama live.
Kwa uelewa wa kawaida Nabii anaweza mtuma /mchagua mtume? watakwambia hapana. Then Who is Jesus? just a normal guy.