Bi zandile
JF-Expert Member
- Sep 12, 2024
- 459
- 1,155
- Thread starter
-
- #61
Upo katika nafasi ya wazushi coz hata andiko la kuthibitisha kuwa mtume Paulo alioa huna.Acha Uongo.
Hujatoa mstari wowote unaosema Paulo hakuoa kwenye maisha yake yote hapa Duniani...
Hao hawakufa ila Mtume Paulo lazima alikufa tu kama wanadamu wengine.Eliya ? Henoko ?
Hao hawakuwa wanadamu ?Hao hawakufa ila Mtume Paulo lazima alikufa tu kama wanadamu wengine.
Wahusika wa hiyo hadithi ndivyo wanadaiKuna Biblia ya Jerusalem inasema hivo?
Umepaniki, unaambiwa unasema Tena Mimi nakimbia ,yaani unataka tujibishane ovyo,Huko ndipo unapo kimbilia siku zote akili yako imejaa ujinga wa mashindano ya waswahili [ Ukristo vs Uislamu] huamini hata jamii yako inaweza kupinga ujinga wako unao sambaza humu idiot
Bila ushahidiWahusika wa hiyo hadithi ndivyo wanadai
Mtume Paulo alikufa acha ligi isiyo na tija.Hao hawakuwa wanadamu ?
Maria alifia wapi ?
Umeona sasa ulivyo mpumbavu kila mtu anaye pinga upuuzi wako una mpachika uislamu, akili yako imejifunga katika boksi la ukristo na uislamu.Umepaniki, unaambiwa unasema Tena Mimi nakimbia ,yaani unataka tujibishane ovyo,
Badala uweke hoja ,unaleta mihemko
Waislamu lini mtabadilika
Unafahamu kuwa kabla ya huyo mnae dai ni kristo kuzaliwa , kale zipo jamii zilikua zina hadithi kama hiyo hiyo ya yesu?Bila ushahidi
Ushabadilika tena siumemsifia kwa Useja na kutuaminisha hilo linampendeza MunguKwani Paulo amekataza kuoa ?
Hakuna ligi hapa wewe ndio umeleta habari za kuwa Paulo alikufa kama binadamu wengine ndio nikakuuliza Eliya na Henoko hawakuwa binadamu ?Mtume Paulo alikufa acha ligi isiyo na tija.
Tuelimishane taratibu jamani msianze kutoleana maneno makaliUmeona sasa ulivyo mpumbavu kila mtu anaye pinga upuuzi wako una mpachika uislamu, akili yako imejifunga katika boksi la ukristo na uislamu.
Kuna sehemu amesema ni lazima ?Ushabadilika tena siumemsifia kwa Useja na kutuaminisha hilo linampendeza Mungu
Hata waislamu Wana Hadith ya Isa ,ila sio Yesu ,Unafahamu kuwa kabla ya huyo mnae dai ni kristo kuzaliwa , kale zipo jamii zilikua zina hadithi kama hiyo hiyo ya yesu?
Kabla ya yetu hizo hadithi zipo unafahamu?Hata waislamu Wana Hadith ya Isa ,ila sio Yesu ,
Uwe unaweka na reference basi
Okay...tuishie hapaHakuna ligi hapa ndio umeleta habari za kuwa Paulo alikufa kama binadamu wengine ndio nikakuuliza Eliya na Henoko hawakuwa binadamu ?
Hakuna ligi humu ligi mnaleta wenyewe mkikosa hoja
Je nao siyo Mungu kama madai ya Ukristo kwa kushinda kifo.Hao hawakufa ila Mtume Paulo lazima alikufa tu kama wanadamu wengine.
Yenu waislamu?ππKabla ya yetu hizo hadithi zipo unafahamu?
Wewe upo kundi gani?Weka hoja za hao wanaodai kwamba kuna mistari inaonyesha Paulo alioa , isije kuwa unajitekenya na kucheka mwenyewe π€
Ni lazima kuwa na kundi?Wewe upo kundi gani?