Ibilisi Mjalaana
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 8,297
- 16,529
Kwahyo Muhammad ndo alisema ukristo, uyahudi nk ni dini? Mbona unaongea kama umekatwa kichwaNajifunga wapi ,nilikwambia dini kurejea Ukristo na Uyahudi,n.k imekuja na Mudy, before hakuna mtu Aliyekuwa anaziita dini hizi Ukristo, Uyahudi n.k elewa hivo
Dini ni project za watu ,ni utapeli ,ndipo hapo tunakuta baada ya muhamad anaziita dini na kulipa umaarufu hilo neno
KitabuSasa hapo unataka Aya gani mkuu
Kitabu gani hakuna mtu alokua anamfatilia Paulo maana ni maamuma wayahudi wenyew hawamtambui hiyo stori kabla hajaanza utapeli utaipata wapi?Kitabu
Kwa hiyo wewe umenukuu kijiweni?Kitabu gani hakuna mtu alokua anamfatilia Paulo maana ni maamuma wayahudi wenyew hawamtambui hiyo stori kabla hajaanza utapeli utaipata wapi?
Leta historia yake hapa kuanzia akiwa mtoto hadi anakufa kama hamna basi usiwabishie wanasema alikua na mke au demuKwa hiyo wewe umenukuu kijiweni?
Dada Anna hao wanaobisha na kudai kwamba Paulo mtume alikuwa na mke huo uwongo wameutoa kwenye injili ya baraba au imetoka kwenye sahihi al buhar???usiwabishie wanasema alikua na mke au demu
Kwanza hilo neno dada litoe, pili maisha ya Paulo kabla hajatokewa na Yesu na kudai yeye mtume mnayajua yoteDada Anna hao wanaobisha na kudai kwamba Paulo mtume alikuwa na mke huo uwongo wameutoa kwenye injili ya baraba au imetoka kwenye sahihi al buhar???
Hao wasemao kwamba alikuwa na mke ni wapiga porojo tu kama Ali KamweLeta historia yake hapa kuanzia akiwa mtoto hadi anakufa kama hamna basi usiwabishie wanasema alikua na mke au demu
Jibu swali Kuna historia kamili ya Paulo kabla ajaanza ujanja wakeHao wasemao kwamba alikuwa na mke ni wapiga porojo tu kama Ali Kamwe
Yeye ni kama Nabii Ibrahim yameelezwa Yale ya msingi Sana yaliomhusu...Suala la hadithi za utoto ujinga nk ni vitu ambayo havina msaada wowote Kwa kile alichokusudiwa kukifikisha Kwa hadhira.Kwanza hilo neno dada litoe, pili maisha ya Paulo kabla hajatokewa na Yesu na kudai yeye mtume mnayajua yote
Unatatzo mahali unamfananisha nabii Ibrahim na takataka Paulo embu kuwa serious kidogoYeye ni kama Nabii Ibrahim yameelezwa Yale ya msingi Sana yaliomhusu...Suala la hadithi za utoto ujinga nk ni vitu ambayo havina msaada wowote Kwa kile alichokusudiwa kukifikisha Kwa hadhira.
Nikiwa serious nitakwambia takataka ni Muhammad Yule ndie hawezi kufananishwa.Unatatzo mahali unamfananisha nabii Ibrahim na takataka Paulo embu kuwa serious kidogo
Sawa hoja sipingi lakn kufananisha Ibrahim na Paulo ni ukosefu wa akili, pia hakuna mahali nimemfananisha Muhammad na Ibrahim hayo yalikua kwenye hoja zako hivo naona zunguka mbuyu bila kujibu hoja kuuNikiwa serious nitakwambia takataka ni Muhammad Yule ndie hawezi kufananishwa.
Ukiambiwa unatumia "Chatgpt" unakataa, sasa imekuumbua hapo imekufumdisha na bado hujaelewa Kwahiyo ulitaka kusema Mungu hakuwa na (Dini/Njia) mfumo wa kuabudiwa.Ukweli ni kwamba neno "dīn" (دين) kabla ya Uislamu halikutumika moja kwa moja kumaanisha dini ya Kikristo au Kiyahudi kwa maana tunayoijua leo.
Kabla ya Uislamu (kipindi cha Jahiliyya)
Waarabu walilitumia dīn kwa maana ya desturi, mfumo wa maisha, sheria za kabila au hukumu.
Mfano,katika mashairi ya kabla ya Uislamu, waliposema “dīn al-malik” walimaanisha mfumo wa sheria ya mfalme/hukumu yake.
Kwa hiyo haikuwa ikimaanisha dini hizi Ukristo,Uyahudi n.k
Qur’an ilipoanza kushuka, neno dīn lilipanuliwa maana yake kufikia dini za kimbingu (Ukristo, Uyahudi, Uislamu).
Mfano: “Inna dīna ʿinda Allāhi al-Islām” (Qur’an 3:19) – Yaani: Hakika dini sahihi mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uislamu.
Pia Qur’an inawatambua Mayahudi na Wakristo kuwa na dīn zao, ndiyo maana ikaelezwa: “Lakum dīnukum wa liya dīn” (109:6).
Baada ya Uislamu kusambaa,Ndipo dīn likaanza kutumika waziwazi kurejea dini zote Uyahudi, Ukristo, Uislamu na hata ushirikina.
Kwa Waarabu na Waislamu wa mwanzo, “dīn” haikumaanisha tu “imani ya mtu binafsi” bali mfumo mzima wa maisha, sheria na ibada.
Wewe unaemzarau mtume Paul unadhani ni kila mtu anamdharau kama Wewe?? Labda Wewe utuambie maisha ya utotoni ya Ibrahim maana habari ya Ibrahim imeandikwa tokea ukubwani na Apostle makini Paul habari zake zimeanza kuandikwa tokea ukubwani hio ndio nilikuwa namaanisha..naona zunguka mbuyu bila kujibu hoja kuu
Alihukumiwa kwa mashtaka yepi.Alifia Roma akiwa Gerezani na aliteswa sana na Kaisari Nero. Ukisoma Timotheo... Hili linaonekana kuwa waraka wa mwisho aliouandika Paulo, na lina kauli ya kuaga ya kusikitisha. Paulo anasema ..Anajihisi "anamwagwa kama dhabihu" na anasema kwamba "wakati wa kuondoka kwangu umefika" (2 Timotheo 4:6). Anataja kuteswa kwa kiwango kikubwa (2 Timotheo 4:16-17) na kumtumia Timotheo aje kwa haraka. Hali hii inaelekeza kuwa alikuwa gerezani na anasubiri hukumu yake. Huo ni ushahidi wa tosha wa kifo chake Cha kufia Dini. Ingawa hakuna maneno ya moja kwa moja kwenye again jipya kuhusu kifo chake na mahali alipofia. TYK
Habar za Ibrahim zimeandikwa akiwa mkubwa tu ni wapi ulipoiga maandiko au kwenye biblia yenu?Wewe unaemzarau mtume Paul unadhani ni kila mtu anamdharau kama Wewe?? Labda Wewe utuambie maisha ya utotoni ya Ibrahim maana habari ya Ibrahim imeandikwa tokea ukubwani na Apostle makini Paul habari zake zimeanza kuandikwa tokea ukubwani hio ndio nilikuwa namaanisha..
Habari za uhakika za Ibrahim zimeandikwa kwenye Biblia yetu.Habar za Ibrahim zimeandikwa akiwa mkubwa tu ni wapi ulipoiga maandiko au kwenye biblia yenu?