Mtumie Ujumbe wa Merry Christmas Mkeo/Mpenzi, Screenshot Alichojibu leta hapa

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
25,725
Reaction score
78,589
Jana nilimnunua Gauni nikiwa nataka nimsupriz , Sasa nikafika nikaliweka kabatini bila yeye kujua .

Leo nimetoka Mapema sana Alfajiri kufata Kamfugo ndanindani huko , Sasa nikaingia na wazo la kumtumia Meseji ya kumuwish Mama watoto Heri ya Christmas .

Najua una Wife unaishi naye Home au pengine mpo mbali mbali .

Inawezekana ni Mpenzi mnayeelewana !!.

Huyu Mimi nmegundua , yeye Kati ya Zawadi na Ujumbe muhimu wakumuomba Mola, yeye katanguliza Zawadi !!.


Wako anasemaje ??



Karibuni wandugu , Ostadh yupo ili wote bila kujali Dini πŸ‘‡πŸ‘‡

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…