Mtumie Ujumbe wa Merry Christmas Mkeo/Mpenzi, Screenshot Alichojibu leta hapa

Mtumie Ujumbe wa Merry Christmas Mkeo/Mpenzi, Screenshot Alichojibu leta hapa

Hii mentality ya kuamini kuwa kila anaenjoy mapenzi ni mtoto, nafikiri inaletwa na stress za ushamba na ufukara.

Yani inakuwaje mtu kujibizana na mpenzi wake vizuri iwe ni utoto, kwamba ukiwa mkubwa inatakiwa iwe kinyume chake?

Nimejibu kwa niaba ya uliemshambulia.
Na wewe pia bado mtoto maana hujaelewa.

Suala siyo kujibizana, suala ni kujibizana halafu ukaenda kuwaonyesha majirani.
 
Huyu hapa
20221225_211924.jpg
 
Na wewe pia bado mtoto maana hujaelewa.

Suala siyo kujibizana, suala ni kujibizana halafu ukaenda kuwaonyesha majirani.

Ni bora mwanaume akawa na utoto ( kama unavyonisema mimi), kuliko kuwa na tabia za kike kama wewe.

Ile tu kuumia na kujisikia vibaya juu ya kitu ambacho hakikupunguzii chochote huo ni ukike.

CHANGE OR PERISH.
 
Unamaanisha kwamba kuwa mwanamke ni jambo baya sana kiasi kwamba ni bora kuwa mtoto?

Lakini hao hao wanawake ndio mnalilia kuchati nao hadi mnakuja kuonyesha hapa jamiiforums jinsi mlivyochati na wake zenu?!

Hivi unajitambua kweli wewe au ilimradi kunakucha?!
 
Daah watu na wapenzi wenu banaa[emoji26][emoji26], sisi wengine acha tu, mitandao ndio wafariji wetu wa kutuita mpendwa mteja na kutukumbusha kulipa madeni[emoji23]

[emoji23][emoji23][emoji23]anyway mimi wangu wa mchongo HAPATIKANI TANGU JUZI[emoji16][emoji16], kaja kupatikana mida ya saa3 usiku na anadai alikuwa mgonjwa...haya bana[emoji16][emoji16][emoji16] anyway hata mimi nisingepatikana maana nilikuwa na appointment za kutosha na warembo wingine[emoji16][emoji16] , yaani kiufupi kufeli kwake ni mafanikio ya wengine kunipa kampani[emoji23].

Na hiyo ndio faida ya kipekee ya kuwa na makandokando a.k.a plan'B&C[emoji23][emoji23]
View attachment 2458241
 
Unamaanisha kwamba kuwa mwanamke ni jambo baya sana kiasi kwamba ni bora kuwa mtoto?

Lakini hao hao wanawake ndio mnalilia kuchati nao hadi mnakuja kuonyesha hapa jamiiforums jinsi mlivyochati na wake zenu?!

Hivi unajitambua kweli wewe au ilimradi kunakucha?!
Namaanisha ni mbaya sana mwanaume kuwa na tabia za kike, ni bora awe na tabia za kitoto.

CHANGE or PERISH.
 
Jana nilimnunua Gauni nikiwa nataka nimsupriz , Sasa nikafika nikaliweka kabatini bila yeye kujua .

Leo nimetoka Mapema sana Alfajiri kufata Kamfugo ndanindani huko , Sasa nikaingia na wazo la kumtumia Meseji ya kumuwish Mama watoto Heri ya Christmas .

Najua una Wife unaishi naye Home au pengine mpo mbali mbali .

Inawezekana ni Mpenzi mnayeelewana !!.

Huyu Mimi nmegundua , yeye Kati ya Zawadi na Ujumbe muhimu wakumuomba Mola, yeye katanguliza Zawadi !!.

Wako anasemaje ??

View attachment 2457325

Karibuni wandugu , Ostadh yupo ili wote bila kujali Dini 👇👇

View attachment 2457345
🤣 🤣 🤣 Umeambiwa ole wako nikute unanidanganya. Bro endelea na ongeza kasi ya kutoa zawadi home.
 
Na wewe pia bado mtoto maana hujaelewa.

Suala siyo kujibizana, suala ni kujibizana halafu ukaenda kuwaonyesha majirani.

Oyaa Jamaa Jirani wenyewe ni nyie au sio.

Haya nimekuruhusu, kamwambie Wife kua nmeonyesha tulivyojibizana 😂
 
Unamaanisha kwamba kuwa mwanamke ni jambo baya sana kiasi kwamba ni bora kuwa mtoto?

Lakini hao hao wanawake ndio mnalilia kuchati nao hadi mnakuja kuonyesha hapa jamiiforums jinsi mlivyochati na wake zenu?!

Hivi unajitambua kweli wewe au ilimradi kunakucha?!
Mbona suala ni dogoo.

Nimesema ,mtumie mkeo/Mpenzi meseji ya kumuwish , alafu piga screenshot ulete hata.

Najua Kuna ambao mmngejibiaa

Wewe umekuaje Leo??

Umekosea meseji au??

Mmhhh mvua ishuke Leo!!

Naomba uwe Ivo Kila siku Mume !

All in all ,nikuonyeshe mwitukio wa Mapokeo na kinachoendelea Haina yenu.

Relax Man.... Hata ungemjua Wife, ukajitoa umbeya wa "Carlos Meeonyesha mlichochat ".

Angekuuliza kipi hicho??..alafu nawee ukajibu "Si hayo ya sikukuuu".

Angekujibu....khaaaa Sasa hapo cha ajabu nini, ? Weee naye, mwanaume na umbeya hata hainogi.

Ninaamini, ungeishia kujichekesha chekesha tuu ,shemejiii nayeee ,haya bana shemuuii ila Mimi Nimeona nikuambie tu.

Ungeondoka na Hasira, ukaenda kumuonyesha Mkeo na Maneno like "Wife ,Kuna wanaume wajingaa ,kitu linapost mtandaoni chat zake na mkewe ona hkma huyuuu ".

Mkeo angesoma, jambo pekee angeondoka nalo, ni jina "Carlos The Jackal" na Jamiiforums angeidowload .

Au kama nayeye ananijua na wife anamjua , Trust me angeonana na Wife nahizo Stori aangepiga like "Hongera shogaaa naona unaishi na Carlos vizuri, Nimeona alichopost mkichatishanaaa".

Bwana Mujuni, Kwa akili za Wanawake , Uwezekano wa mkeo kumwelewa Carlos ungeozeka maradufu sana nahata kuliwa mbususu yake na Carlos.

Kwa sababu Wanawake wanaishi Kwa Hisia !!.

Endelea kujiwekea mipaka ya kizeee, Wanawake ni wale wale Leo na kesho ,hata awe na miaka 40 akili yake inabakia kua ya kitoto.

Utanishukuru!!.
 
Back
Top Bottom