Mtumie Ujumbe wa Merry Christmas Mkeo/Mpenzi, Screenshot Alichojibu leta hapa

Mtumie Ujumbe wa Merry Christmas Mkeo/Mpenzi, Screenshot Alichojibu leta hapa

Hehehehe
Naendelea kusoma comments
 
Daahhh hahahah mkuuu nmefurah sana Bana !!.
Japo bado yupo kanisani kwenye birthday party ya Yesu ila nmeona isiwe hiana kumuwish baada ya kuona huu uzi maana nisingefanya ivo saiv ningesahau kabisa.

Kuna muamala nilimfanyia night ya jana hope siku yake itaenda vizuri ingawa sio mtu wa viwanja.

WOMEN DESERVE LOVE [emoji3590][emoji3590][emoji3590]
 
Hakika Mkuu !!
 
Ndio meseji niliyopokea kwa leo
Screenshot_20221225-113438_Messages.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jana nilimnunua Gauni nikiwa nataka nimsupriz , Sasa nikafika nikaliweka kabatini bila yeye kujua .

Leo nimetoka Mapema sana Alfajiri kufata Kamfugo ndanindani huko , Sasa nikaingia na wazo la kumtumia Meseji ya kumuwish Mama watoto Heri ya Christmas .

Najua una Wife unaishi naye Home au pengine mpo mbali mbali .

Inawezekana ni Mpenzi mnayeelewana !!.

Huyu Mimi nmegundua , yeye Kati ya Zawadi na Ujumbe muhimu wakumuomba Mola, yeye katanguliza Zawadi !!.

Wako anasemaje ??

View attachment 2457325

Karibuni wandugu , Ostadh yupo ili wote bila kujali Dini [emoji116][emoji116]

View attachment 2457345

Hizo miguu kichwa na mbupu nazipataje
 
Back
Top Bottom