Mtumie Ujumbe wa Merry Christmas Mkeo/Mpenzi, Screenshot Alichojibu leta hapa

Mtumie Ujumbe wa Merry Christmas Mkeo/Mpenzi, Screenshot Alichojibu leta hapa

Kwa nini?

Unamaanisha tabia za mwanamke ni mbaya mno bora hata tabia za mtoto?

Tabia za kike sio mbaya ikiwa zinaonyeshwa na wakike, ila mwanaume kuwa na tabia za kike ni mbaya sana.

We muhaya wa wapi unashindwa kuelewa? Badilika.
 
Mbona suala ni dogoo.

Nimesema ,mtumie mkeo/Mpenzi meseji ya kumuwish , alafu piga screenshot ulete hata.

Najua Kuna ambao mmngejibiaa

Wewe umekuaje Leo??

Umekosea meseji au??

Mmhhh mvua ishuke Leo!!

Naomba uwe Ivo Kila siku Mume !

All in all ,nikuonyeshe mwitukio wa Mapokeo na kinachoendelea Haina yenu.

Relax Man.... Hata ungemjua Wife, ukajitoa umbeya wa "Carlos Meeonyesha mlichochat ".

Angekuuliza kipi hicho??..alafu nawee ukajibu "Si hayo ya sikukuuu".

Angekujibu....khaaaa Sasa hapo cha ajabu nini, ? Weee naye, mwanaume na umbeya hata hainogi.

Ninaamini, ungeishia kujichekesha chekesha tuu ,shemejiii nayeee ,haya bana shemuuii ila Mimi Nimeona nikuambie tu.

Ungeondoka na Hasira, ukaenda kumuonyesha Mkeo na Maneno like "Wife ,Kuna wanaume wajingaa ,kitu linapost mtandaoni chat zake na mkewe ona hkma huyuuu ".

Mkeo angesoma, jambo pekee angeondoka nalo, ni jina "Carlos The Jackal" na Jamiiforums angeidowload .

Au kama nayeye ananijua na wife anamjua , Trust me angeonana na Wife nahizo Stori aangepiga like "Hongera shogaaa naona unaishi na Carlos vizuri, Nimeona alichopost mkichatishanaaa".

Bwana Mujuni, Kwa akili za Wanawake , Uwezekano wa mkeo kumwelewa Carlos ungeozeka maradufu sana nahata kuliwa mbususu yake na Carlos.

Kwa sababu Wanawake wanaishi Kwa Hisia !!.

Endelea kujiwekea mipaka ya kizeee, Wanawake ni wale wale Leo na kesho ,hata awe na miaka 40 akili yake inabakia kua ya kitoto.

Utanishukuru!!.
Unatumia nguvu nyingi kutype kumwelewesha mtu hakuelewi.

Achana nae huyo ata Vichaa wanazeeka[emoji28]
 
Ni bora mwanaume akawa na utoto ( kama unavyonisema mimi), kuliko kuwa na tabia za kike kama wewe.

Ile tu kuumia na kujisikia vibaya juu ya kitu ambacho hakikupunguzii chochote huo ni ukike.

CHANGE OR PERISH.
Ukike gani na wewe hiyo ni hulka/ tabia tu ya mtu. Haijalishi kike au kiume. Eti huo ni ukike Loh!!
 
Heri yenu nyie mie nimeachika jana usiku kmmk[emoji17]View attachment 2458128
Napendaga sn wajuaji km huyu dem, im so toxic as fvck to these losers, whn i misbehave dont expect me to please you cuz i only care for my pride, you should keep quit bitch im your king, dont need your opinions just give me a pussy that's all i want [emoji1787]
 
Jana nilimnunua Gauni nikiwa nataka nimsupriz , Sasa nikafika nikaliweka kabatini bila yeye kujua .

Leo nimetoka Mapema sana Alfajiri kufata Kamfugo ndanindani huko , Sasa nikaingia na wazo la kumtumia Meseji ya kumuwish Mama watoto Heri ya Christmas .

Najua una Wife unaishi naye Home au pengine mpo mbali mbali .

Inawezekana ni Mpenzi mnayeelewana !!.

Huyu Mimi nmegundua , yeye Kati ya Zawadi na Ujumbe muhimu wakumuomba Mola, yeye katanguliza Zawadi !!.

Wako anasemaje ??

View attachment 2457325

Karibuni wandugu , Ostadh yupo ili wote bila kujali Dini [emoji116][emoji116]

View attachment 2457345
Huu ndo uanaume mkuu ...
Hongera sana
 
Huyu alikua na MTU wa kumtoa out, kwahio aliamua kukuweka pending kidogo, ndio maana anataka muwe marafiki tu. Ulishindwa kununua Zawadi, lazima!
Daahhh najitahidi kwa nafasi yangu na uwezo wangu ila sio kesi maisha lazima yaendelee!!
 
Mbona suala ni dogoo.

Nimesema ,mtumie mkeo/Mpenzi meseji ya kumuwish , alafu piga screenshot ulete hata.

Najua Kuna ambao mmngejibiaa

Wewe umekuaje Leo??

Umekosea meseji au??

Mmhhh mvua ishuke Leo!!

Naomba uwe Ivo Kila siku Mume !

All in all ,nikuonyeshe mwitukio wa Mapokeo na kinachoendelea Haina yenu.

Relax Man.... Hata ungemjua Wife, ukajitoa umbeya wa "Carlos Meeonyesha mlichochat ".

Angekuuliza kipi hicho??..alafu nawee ukajibu "Si hayo ya sikukuuu".

Angekujibu....khaaaa Sasa hapo cha ajabu nini, ? Weee naye, mwanaume na umbeya hata hainogi.

Ninaamini, ungeishia kujichekesha chekesha tuu ,shemejiii nayeee ,haya bana shemuuii ila Mimi Nimeona nikuambie tu.

Ungeondoka na Hasira, ukaenda kumuonyesha Mkeo na Maneno like "Wife ,Kuna wanaume wajingaa ,kitu linapost mtandaoni chat zake na mkewe ona hkma huyuuu ".

Mkeo angesoma, jambo pekee angeondoka nalo, ni jina "Carlos The Jackal" na Jamiiforums angeidowload .

Au kama nayeye ananijua na wife anamjua , Trust me angeonana na Wife nahizo Stori aangepiga like "Hongera shogaaa naona unaishi na Carlos vizuri, Nimeona alichopost mkichatishanaaa".

Bwana Mujuni, Kwa akili za Wanawake , Uwezekano wa mkeo kumwelewa Carlos ungeozeka maradufu sana nahata kuliwa mbususu yake na Carlos.

Kwa sababu Wanawake wanaishi Kwa Hisia !!.

Endelea kujiwekea mipaka ya kizeee, Wanawake ni wale wale Leo na kesho ,hata awe na miaka 40 akili yake inabakia kua ya kitoto.

Utanishukuru!!.
I see!

Umenielewesha kwa uvumilivu sana. Poa nimekupata.
 
Back
Top Bottom