Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Hii mentality ya kuamini kuwa kila anaenjoy mapenzi ni mtoto, nafikiri inaletwa na stress za ushamba na ufukara.Nyinyi bado watoto.
Yani inakuwaje mtu kujibizana na mpenzi wake vizuri iwe ni utoto, kwamba ukiwa mkubwa inatakiwa iwe kinyume chake?
Nimejibu kwa niaba ya uliemshambulia.