Hii mentality ya kuamini kuwa kila anaenjoy mapenzi ni mtoto, nafikiri inaletwa na stress za ushamba na ufukara.Nyinyi bado watoto.
π π π π Fanya utoke out. Mpenzi wako utampata huko. Yupo somewhere anakusubiriaIshuke yenye ujazo aisee[emoji23]
Tena ya upepo mkali iwapeperushe wapenzi na wapenzi wao.
Naomba isifike hadi saa 11, maana nina bonge moja la outingNdiyo vizuri,
Ombi lako limesikika kwa Dar
Skuizi kwenye social media watu wanapenda kua negative sana sjuagi kwann.Hii mentality ya kuamini kuwa kila anaenjoy mapenzi ni mtoto, nafikiri inaletwa na stress za ushamba na ufukara.
Yani inakuwaje mtu kujibizana na mpenzi wake vizuri iwe ni utoto, kwamba ukiwa mkubwa inatakiwa iwe kinyume chake?
Nimejibu kwa niaba ya uliemshambulia.
Sina muelekeo wowote, wacha nifue nguo kwa leo.[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] Fanya utoke out. Mpenzi wako utampata huko. Yupo somewhere anakusubiria
Umeniwakilisha NduguHii mentality ya kuamini kuwa kila anaenjoy mapenzi ni mtoto, nafikiri inaletwa na stress za ushamba na ufukara.
Yani inakuwaje mtu kujibizana na mpenzi wake vizuri iwe ni utoto, kwamba ukiwa mkubwa inatakiwa iwe kinyume chake?
Nimejibu kwa niaba ya uliemshambulia.
Mvua imeanza kunyesha, Dua zako zimejibiwa π π π πSina muelekeo wowote, wacha nifue nguo kwa leo.
HeeeeeNyinyi bado watoto.
Kuwa makini Mkuu kunywa kistaharabu baba jTuliolala kwny mkesha wa xmass
Ndo tunaelekea majumban kwetu sahv[emoji116]
kuhusu zawadi
Mpk nafika home, Uzima wangu Ndo utakua zawad tosha kwa MKE wangu na familia yangu. Eeeh mungu nisaidie[emoji120]
View attachment 2457374
Nyie mnaishi Maisha mazuriUmeniwakilisha Ndugu
Amen Ndugu, barikiwaNyie mnaishi Maisha mazuri
Inshalaah Mungu aendelee kuwahifadhi ili muishi kwa ,Furaha, Amani na Upendo.
Daahhh hahahah mkuuu nmefurah sana Bana !!.
Watu wengi Huwa hawajui Uzito wa SMS, yaan katika Ulimwengu wa Wanawake, Ujumbe wa SMS ni muhim sanaaa