Tetesi: Mtumishi TAMISEMI Dodoma aliyekutwa kafa ndani gari kwenye maegesho ya hoteli ya Morena, stori yake inasikitisha sana

😒😒😒😒😒😒😒😒😒😒😒😒😒
 

Bro usijidanganye.

..........Mwanamke kama ni malaya ni Malaya tu, awe mama wa nyumbani au mtumishi.

Nakumbuka humu Jamiiforums kuna Dada yetu alileta Uzi kuwa anamtamani mwendawazimu anayemuona akiwa uchi njiani anakopita akienda na kurudi kazini, Dada zetu akili zao wanazijua wenyewe.
 
Dah! Jamaa katuangusha sana watu wa kule .....alishindwa hata kuwasambaratisha kwa radi ya kuangazi?
 
Kuna wanawake wapo nyumbani tu hawana kazi yoyote lakini wanagongwa sana. Wewe unaenda kazini asubuhi, jamaa anaingia kupiga mzigo. Nina ushuhuda kabisa
Hawa wanawake wasikie tu. Wewe unaweza usijue chochote lakini majirani zako wote wanajua michezo ya mkeo.
 
Nikiwa kama private investigator hii stry naihisi iko kinyume na ulivyopata stry, itakua ww unajua kuhusu kifo cha jamaa au jamaa kakupa stry ya uongo ili kuficha ukweli, kwa mtazamo wangu Huyo jamaa hakujiuwa ameuliwa
Sasa wewe ndio unaujua ukweli...nimeangalia comment za wengi humu naona kawapotosha kwel, DEO aliuliwa mana kuna ufisadi aliujua pale ofisin haraf alikuwa anachapiwa mkewe na aliefanya ule ufisadi kwa hiyo muda wowote alikuwa anaitema report wakaona suluhisho ni kumuondoa
 
Ndo tatizo la kutokuwa na michepuko hilo ,jamaa angekuwa na michepuko wala asingewaza chochote angamtema kiroho safi na kuendelea na maisha
Ushamba mwingine ni wa kumsomesha mke.

Imekuwa kama laana vile, kila anayemuinua aidha mchumba ama mke kwa kumpiga kitabu kwa minajili ya kuboresha future zao, lazima tu atendwe, yaani ni wengi mno wanaolizwa.

Wanaume dumisheni mifumo dume kwenye ndoa zenu, ndiyo uAfrika huo, uZungu acheni.
 
Hakuna Cha contribution Kama mumeoana.Mama hata Kama ni Mama wa nyumbani mnagawana sawa yeye anafanya kazi za nyumbani wewe kazini wote mnafanya kazi.Mgao nusu kwa nusu
Hayo uliyoyasema yapo kweli, lakini pia mahakama inaangalia ni nani aliyeanza kuitikisa ndoa.
 

Miss Natafuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…