Hakuna kitu km hicho, huyo Mwanamke kamkuta jamaa ana mali kibao za urithi, Baba na ukoo wanazo, Dada mtu alikuwa Mkurugenzi wa Taasisi ya juu kabisa Serikalini sembuse Mashemeji ni wababe ambao wanaweza mnyanyua dakika yoyote huyo Binti kwa aina yoyote
Nsoji Go Nvaa Story yako ina ukweli kama 75% hawa wafipa kina Mxxxxfi hawawezi muacha kwani katika nyumba hizo km ghorofa la Kikuyu Dadamtu kahusika vilivyo na Mke kalikuta na jamaa alikuwa hata kazi hana, hiyo ngazi ya uhasibu hajafikia bado mpaka mauti yalipomfika.
Ulevi alikuwa nao km mawazo ya kugongewa huenda ikawa chanzo, lakini huwezi lewa pombe ukaenda jifungia vioo vyote katika gari pale Morena, lazima utakosa hewa hata km umewasha AC.
Mke wa jamaa atakuwa mjinga kama karudi na mtoto wa Mkurugenzi, kwani Kesi ya Mirathi haiwezi isha mapema hivi sembuse ya mauaji
Hata hivyo tumefunguka mengi sasa kwa huyu jirani yangu hapa IR rd