Tetesi: Mtumishi TAMISEMI Dodoma aliyekutwa kafa ndani gari kwenye maegesho ya hoteli ya Morena, stori yake inasikitisha sana

Tetesi: Mtumishi TAMISEMI Dodoma aliyekutwa kafa ndani gari kwenye maegesho ya hoteli ya Morena, stori yake inasikitisha sana

Hii yote inatokana na huu ujinga “Mke wangu anafanya kazi ili tusaidiane maisha”!!!well atakusaidia mpaka kuwahi kuuona udongo na eleweni hakuna duniani kitu kama hiko.

Vijana mkiendelea kukimbia majukumu yenu mliyoandikiwa kwamba mtatafuta ridhiki za familia zenu huku wake zenu mliowaowa wakiwazalia watoto na kuwaangalia kwa ukaribu majumbani mwenu basi mtagongewa sana na mtakufa na kuuwa mpaka akili zenu ziwakae sawa.

Kizazi hiki kinataka kupambana na nature jambo ambalo ni kosa kubwa sana
Iache mipumbavu iendelee kuvuna inachokitaka maana inamgeuza Mungu kuwa hakuona mbali kumuumba Mwanamke awe Mama wa nyumbani na Mlezi wa watoto badala ya kula kwa jasho sawa na Mwanaume.
 
Hofu ya M/Mungu inasistizwa sana, mwanamke mwenye Imani ya dhati anaraha yake bwana.
 
Nani katulaani Wanaume/Baba tusijue mipaka yetu kimajukumu hadi tusomeshe Wanawake na kuwaajiri?

Athari za uwoga wa majukumu kimaisha ni kubwa sana kuliko kuzikabili kiuhalisia kwa jinsi tulivyoumbwa Binadamu.
Hakuna kitu km hicho, huyo Mwanamke kamkuta jamaa ana mali kibao za urithi, Baba na ukoo wanazo, Dada mtu alikuwa Mkurugenzi wa Taasisi ya juu kabisa Serikalini sembuse Mashemeji ni wababe ambao wanaweza mnyanyua dakika yoyote huyo Binti kwa aina yoyote

Nsoji Go Nvaa Story yako ina ukweli kama 75% hawa wafipa kina Mxxxxfi hawawezi muacha kwani katika nyumba hizo km ghorofa la Kikuyu Dadamtu kahusika vilivyo na Mke kalikuta na jamaa alikuwa hata kazi hana, hiyo ngazi ya uhasibu hajafikia bado mpaka mauti yalipomfika.

Ulevi alikuwa nao km mawazo ya kugongewa huenda ikawa chanzo, lakini huwezi lewa pombe ukaenda jifungia vioo vyote katika gari pale Morena, lazima utakosa hewa hata km umewasha AC.

Mke wa jamaa atakuwa mjinga kama karudi na mtoto wa Mkurugenzi, kwani Kesi ya Mirathi haiwezi isha mapema hivi sembuse ya mauaji

Hata hivyo tumefunguka mengi sasa kwa huyu jirani yangu hapa IR rd
 
Mnatutisha sasa tusioe jaman
Oa ili tujue kama una matatatizo ya akili au laah.
Stress za ndoa ni kati ya vipimo mujarab vya kutest "degree of sanity" ya mtu. Hawa wanaojiua wote ni ma depression ambayo ni mental illness iliyokua triggered na stress za ndoa; Na wanaoua wenza wao pia ni schizo-affective disorder ambayo imekua triggered na stress za ndoa/mahusiano pia. Kwa hiyo usiwe na wasiwasi kijana. OA ili tujue your mental status. Ahmad Abdurahman
 
Post mortem ilisemaje kwani? Itakuwa mkewe kamuua wakisaidiana na bosi wake ili wachukue nyumba
 
Una uhakika gani kama alichosema alikuwa sahihi, Je kama alikuwa anachangamsha genge tu?
Bro usijidanganye.

..........Mwanamke kama ni malaya ni Malaya tu, awe mama wa nyumbani au mtumishi.

Nakumbuka humu Jamiiforums kuna Dada yetu alileta Uzi kuwa anamtamani mwendawazimu anayemuona akiwa uchi njiani anakopita akienda na kurudi kazini, Dada zetu akili zao wanazijua wenyewe.
 
Hakuna Cha contribution Kama mumeoana.Mama hata Kama ni Mama wa nyumbani mnagawana sawa yeye anafanya kazi za nyumbani wewe kazini wote mnafanya kazi.Mgao nusu kwa nusu
Na what if Baba hana Kazi Mama ana Kazi Mali mgawanyo unakuwaje?
 
Na what if Baba hana Kazi Mama ana Kazi Mali mgawanyo unakuwaje?
As long as baba asiye na kazi anafanya kazi zote za nyumbani.kuanzia kufagia ,kufua,kupika ,kudeki,kuosha watoto na vyombo,kuwapeleka watoto kliniki,kufua nguo za mama na watoto na kupiga pasi nk mgao ni nusu kwa nusu
 
As long as baba asiye na kazi anafanya kazi zote za nyumbani.kuanzia kufagia ,kufua,kupika ,kudeki,kuosha watoto na vyombo,kuwapeleka watoto kliniki,kufua nguo za mama na watoto na kupiga pasi nk mgao ni nusu kwa nusu
Asante kwa ufafanuzi! Maana hili suala huwa lina utata sana na wanaume kudhulumiwa na wanawake.
 
Mwanamke akipata mtu wakumrubuni na akampenda na huenda kwako alikukubali kwasababu ulikua umemwahidi ndoa na unampa mahitaji yake kama mfadhili wake ila hakukupenda nidhahiri ataenda kwa anaempenda iwe umemsomesha au hujamsomesha.
Kweli kabisa mkuu.
 
Basi kama ndio ivyoo wanawake wengi sana wapo kwenye huo mkumbo uliouongelea mana wengi wanaingia kwenye mausiano kutokana na sababu fulani fulani ila mambo yakienda mlama wanatoka nduki kwa mwanaume mwingine tuishi nao kwa akili sana
Shida sio kumsomesha, Kama umepata mke asiefaa hata akae nyumbani tu ufunge nyumba na kufuli bado atachoropoka.
Mwanamke akipata mtu wakumrubuni na akampenda na huenda kwako alikukubali kwasababu ulikua umemwahidi ndoa na unampa mahitaji yake kama mfadhili wake ila hakukupenda nidhahiri ataenda kwa anaempenda iwe umemsomesha au hujamsomesha.
 
Siku zote nasema.
Oa rafiki yako
Oa mtu wa kwenu
Oa mwanamke msiyepishana umri sana
Mila na desturi zizingatiwe
Usioe ukoo au jamii yenye malaya wengi
Usioe mwanamke mpumbavu
Usioe ili umalize matatizo yako ya pesa

Kwa ushauri zaidi njoo pm
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Usioe kumaliza matatizo yako ya kifedha......Hii nimeipenda sana mkuu
 
Mbona hii issue ni ya siku nyingi kidogo na kuna uzi wake humu

 
Back
Top Bottom