Mtumishi wa umma mbaroni kwa kuchana na kuchoma Quran, Waziri Jafo aagiza asimamishwe kazi

Soma hapa Waterloo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uvunjifu wa amani,unafikiri waislamu,wangechukuwa sheria mkononi ingekuwaje.Hapo ni kuwasifu waislamu,kwa kuwa na moyo wa uvumilivu na upendo,hawakuchukuwa sheria mkononi,na ndio inavyotakiwa,ili vyombo vya sheria vifanye kazi yake.Wapewe sifa,waislamu na wasio waislamu,waliokuwako maeneo hayo.
Shusha munkari sheikh kosa lake ni lipi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukichukuwa sheria mkononi unakuwa muhalifu utasakwa na utakamatwa ufungwe.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaa ujidanganye,nchi karibia 18,maradhi yameenea.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hyo Tanzania kwa kua hatuunajisi uislam hakuna magonjwa, watu wote ni wenye afya na wazima tele.

Saudi Arabia, Yemen, Iran, Iraq ambao nsio msingi wa uislam wao hawana magonjwa, watu wote ni wazima kabisa wa afya.

Hivi ukiwa mfuasi wa hii dini akili hua zinafubaa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…