mjumbe wa bwana
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 5,252
- 6,118
bendera ya tanzania ukiifanya kama alivyofanya huyu muhuni hayawani,magu hawezi kupiga kelele utashughulikiwa na watu huko mtaani.sasa huyu kiumbe mwenzetu anataka tugawane majengo ya serikali atakipata tu.ili iwe fundisho kwa wenzakeWewe una hasira kuliko allah mwenye kitabu!!?
Umewahi kuona mtu amekamatwa kwa sababu amechoma zana za waganga au wachawi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Siku hizi biblia ipo online. Una download na kujisomea tu.Thubutuuuu
sawa mzee baba mpe kazi sasa.Sie tayari tumelizika, kazi kwako!!Kosa alilotenda halihusiani na Kazi yake, hilo nikosa kalitenda uraiani yeye Kama yeye, kisheria anapaswa kushughulikiwa Kwa utaratibu nje ya Kazi yake, hivyo ukimfukuza Kazi akaja kukushtaki anadai fidia unalipa hilo liko wazi maaana Hakuna kosa lolote alilo tenda eneo la Kazi au linalohusiana na Kazi Ya mwajiri wake
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ukiangalia vizuri Ile video anaonekana kama kalewa vile....lkn hii si sababu ya kufanya yale aliyofanya kama kalewa je korani aliitoa wapi? Inamaana alikuwa nayo tayari kwa kuchanwachanwa au alijua kuna anayo pale ofisini akaichukua na kufanya alivofanya ....wacha aje mtaani aine kulivyo kuchunguHuyu bwana mdogo huenda akili hazipo sawa. Mie nashauri apimwe akili maana kwa usomi wake, mtumishi wa umma na eneo alilopo kuna walakini katika kichwa chake. Kajiaibisha yeye na wengine wanaomzunguka
Ujinga mtupu yaani kuna kitabu kisichochanwa duniani ? huwezi mzuia mtu kufanya atakalo jamani tubadilikeMtumishi wa Serikali aliyechana Quraan Tukufu asimamishwa kazi, Taarifa hiyo imetolewa leo na Waziri wa TAMISEMI Mhe. Suleiman Jaffo.
RPC Morogoro Wilbroad Mutafungwa amethibitisha kukamatwa kwa kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Daniel Maleki, kwa kosa la kuchana na kuchoma moto kitabu cha Juzuu Amma ambacho ni sehemu ya Quran Tukufu.
“Maleki ni Afisa Biashara wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa, alionekana akichana na kuchoma kitabu hicho Kitakatifu cha dini ya Kiislamu, kitendo ambacho kiliwakasirisha Waumini wa dini hiyo na wananchi waliokuwa maeneo hayo na kuamua kutoa taarifa kwa Polisi” RPC Mutafungwa.
Muheshimiwa Jafo amesema, Mtumishi huyo yuko chini ya ofisi ya Rais na jambo alilofanya halileti afya kwa jamii. Muheshimiwa Jafo amemtaka mkurugenzi wa Halmashauri ya Kilosa kumsimamisha kazi mtumishi huyo pia afanye uchunguzi na kamati au mamlaka yake ya nidhamu iweze kuchukua hatua kadiri atakavyoona inafaa mara baada ya uchunguzi huo
Makaratasi toka lini yakaleta uchizi ?
kwahiyo unaniruhusu nije nikutongoze inbox ili nikuoe we binti mwanana?Ujinga mtupu yaani kuna kitabu kisichochanwa duniani ? huwezi mzuia mtu kufanya atakalo jamani tubadilike
Mwanaume hatishiwi nyau njoo halafu utatoa ushuhuda kwa wenzakokwahiyo unaniruhusu nije nikutongoze inbox ili nikuoe we binti mwanana?
sijakutisha usiogope mie mstaarabu tu ntakupa na helaMwanaume hatishiwi nyau njoo halafu utatoa ushuhuda kwa wenzako