Mtumishi wa umma mbaroni kwa kuchana na kuchoma Quran, Waziri Jafo aagiza asimamishwe kazi

Mtumishi wa umma mbaroni kwa kuchana na kuchoma Quran, Waziri Jafo aagiza asimamishwe kazi

Wewe una hasira kuliko allah mwenye kitabu!!?
bendera ya tanzania ukiifanya kama alivyofanya huyu muhuni hayawani,magu hawezi kupiga kelele utashughulikiwa na watu huko mtaani.sasa huyu kiumbe mwenzetu anataka tugawane majengo ya serikali atakipata tu.ili iwe fundisho kwa wenzake
 
Mkuu..kuwa mchawi au vitendo vinavyoashiria uchawi/ushirikiana, ni kosa"
Pia hata kumiliki zana zinazosadikiwa kuwa ni za kichawi.
Mkuu haya mambo yanayohusu imani za jamii flan ni sensetive!
Yasipotendwa ki uhaki wake yataigharimu serekali. Hakichelewi kunuka!
Umewahi kuona mtu amekamatwa kwa sababu amechoma zana za waganga au wachawi?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Redmi Y2
 
Al lah katuma Jaffo amsaidie kumtetea kitabu chake kimechanwa!
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Hili suala halina tofauti na lile la Nabii Tito,hadi leo sijajua ni kwanini yule nabii Tito alikamatwa na kosa lake lilikuwa lipi? Polisi walimdhalilisha sana Tito pasina sababu ya msingi.
 
Kosa alilotenda halihusiani na Kazi yake, hilo nikosa kalitenda uraiani yeye Kama yeye, kisheria anapaswa kushughulikiwa Kwa utaratibu nje ya Kazi yake, hivyo ukimfukuza Kazi akaja kukushtaki anadai fidia unalipa hilo liko wazi maaana Hakuna kosa lolote alilo tenda eneo la Kazi au linalohusiana na Kazi Ya mwajiri wake

Sent using Jamii Forums mobile app
sawa mzee baba mpe kazi sasa.Sie tayari tumelizika, kazi kwako!!
 
Huyu bwana mdogo huenda akili hazipo sawa. Mie nashauri apimwe akili maana kwa usomi wake, mtumishi wa umma na eneo alilopo kuna walakini katika kichwa chake. Kajiaibisha yeye na wengine wanaomzunguka
Kama ukiangalia vizuri Ile video anaonekana kama kalewa vile....lkn hii si sababu ya kufanya yale aliyofanya kama kalewa je korani aliitoa wapi? Inamaana alikuwa nayo tayari kwa kuchanwachanwa au alijua kuna anayo pale ofisini akaichukua na kufanya alivofanya ....wacha aje mtaani aine kulivyo kuchungu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtumishi wa Serikali aliyechana Quraan Tukufu asimamishwa kazi, Taarifa hiyo imetolewa leo na Waziri wa TAMISEMI Mhe. Suleiman Jaffo.

RPC Morogoro Wilbroad Mutafungwa amethibitisha kukamatwa kwa kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Daniel Maleki, kwa kosa la kuchana na kuchoma moto kitabu cha Juzuu Amma ambacho ni sehemu ya Quran Tukufu.

“Maleki ni Afisa Biashara wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa, alionekana akichana na kuchoma kitabu hicho Kitakatifu cha dini ya Kiislamu, kitendo ambacho kiliwakasirisha Waumini wa dini hiyo na wananchi waliokuwa maeneo hayo na kuamua kutoa taarifa kwa Polisi” RPC Mutafungwa.

Muheshimiwa Jafo amesema, Mtumishi huyo yuko chini ya ofisi ya Rais na jambo alilofanya halileti afya kwa jamii. Muheshimiwa Jafo amemtaka mkurugenzi wa Halmashauri ya Kilosa kumsimamisha kazi mtumishi huyo pia afanye uchunguzi na kamati au mamlaka yake ya nidhamu iweze kuchukua hatua kadiri atakavyoona inafaa mara baada ya uchunguzi huo

Ujinga mtupu yaani kuna kitabu kisichochanwa duniani ? huwezi mzuia mtu kufanya atakalo jamani tubadilike
 
Awaombe msamaha waumini wa dini ya kiislam kwa kitendo chake kisichokuwa cha kistaarabu cha kukichana na kukinajisi kitabu kitakatifu kwa waislam. Yawezekana kilichomsukuma kufanya hivyo ni pombe ambazo baada ya kumtoka kichwani huenda akili yake itakaa vizuri na baadaye kuanza kujuta.....
 
Back
Top Bottom