ielewemitaa
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 10,764
- 9,477
Kelele za nini kijana njoo wenzako watakuwa mashuhudasijakutisha usiogope mie mstaarabu tu ntakupa na hela
kumbe kuna wengine umewapa?Kelele za nini kijana njoo wenzako watakuwa mashuhuda
Mbona unabweka kama mbwa , unaogopa ? usiwe mjinga kama huyo aliemsimamisha kazi jamaakumbe kuna wengine umewapa?
Kwanini iwe sahivi wakati Serikali haina dini?? Na kuchana kwake hicho kitabu kuna uhusiano gani na kazi yake??
#Bagwell
Amesimamishwa kutokana na kukashifu imani za dini nyingine,Kumbuka hii nchi inasheria za kwa upande wa kutambua uhuru wa mtu kuabudu,Fikiria hapo alipochana iyo Quraan pangepita kama wiki ivi basi pangetokea uvunjifu wa amani,kumbuka waislamu ni watulivu sana na pia wana jazba katika mambo kama hayaHii ni mihemko isiyokuwa na maana ktk utumishi wa umma. Amemsimamisha kazi kwa kutumia kifungu kipi cha sheria za kazi? Kuna mahali pameandikwa kuwa mtumishi wa umma akichana kohorani asimamishwe kazi? Aache hizo. Analogia Malenga,
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba kuulaza hivi kwenye avatar ni wewe kweli
Ugonjwa ni ugonjwa tu, hayo magonjwa ya mlipuko yametokea sana hapa Tanzania, je na sisi tuliikashfu quran?
maongezi yako yapo romantic sana...vipi una buti linamzigo?mana ndio ugonjwa wanguMbona unabweka kama mbwa , unaogopa ? usiwe mjinga kama huyo aliemsimamisha kazi jamaa
Usihukulie poa katika jambo kama hili,Jana kafanya hilo jambo lakini ukumbuke napo uko alikochana kuna jamii inayomzunguka ya imani iyo fikiria pangetokea nini nyumbani kwakeSi kinunuliwe kingine maisha yaendelee, hizi dini/Imani zina mambo mengi sana.
Hivyo vitabu/vijizuu si vinachapishwa tu? Au vimeshushwa moja kwa moja toka kwa Allah?Usihukulie poa katika jambo kama hili,Jana kafanya hilo jambo lakini ukumbuke napo uko alikochana kuna jamii inayomzunguka ya imani iyo fikiria pangetokea nini nyumbani kwake
We chukulia tu masihara,icho kitendo alichokifanya ni cha uvunjifu wa amani katika jamii ya kilosaHivyo vitabu/vijizuu si vinachapishwa tu? Au vimeshushwa moja kwa moja toka kwa Allah?
Kama unaona kwamba dish lake limeyumba kwa nini tena useme kakosea sana tu? Aliyeyumba dish ufanya mambo kwa utashi wake wa kawaida?Nimeiona hiyo video ,kiuhalisia yule Jamaa kama dish limeyumba vile , kwa hivyo ni sawa kusimashwa kazi , sion Kama ni sawa serekali kua na watumishi machizi na pia kwa hatua hiyo serekali iliyomchukulia itapunguza jazba kwa waislam.
Haya mambo ya kiimani sio mazuri hua yanaleta machafuko kwa hiyo huyo Jamaa kakosea Sana tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
awaombe msamaha waislamu au allah mwenye kitabu chake,angalia mnavyojipa mamlaka ya kuhukumu na kujitukuza,mnasahau hata nafasi zenu duniani.Awaombe msamaha waumini wa dini ya kiislam kwa kitendo chake kisichokuwa cha kistaarabu cha kukichana na kukinajisi kitabu kitakatifu kwa waislam. Yawezekana kilichomsukuma kufanya hivyo ni pombe ambazo baada ya kumtoka kichwani huenda akili yake itakaa vizuri na baadaye kuanza kujuta.....