ni sahihi..utachanaje kitabu kitakatifu cha Mungu?tuheshimu imani za watu
Hana kosa kisheria ila tujifunze kuheshimu mawazo na tamaduni za wenzetuNdio upo sahihi 100%
Otherwise sheria iwe na lake.
Huo mkono wa umma ndio mashetani wakubwa wakisingizia vitabu vinavyo chapishwa kila sikuSerikali imemficha Mahabusu hadi tarehe 20 Feb, kukwepa Mkono wa Umma!
Waziri yupo sahihi kunsimamisha kwa kosa la uchochezi na kukosa Maadili
Mtumishi wa namna yake hawezo kuwa Muadilifu hasa ikitokea anapaswa kumpa haki Muislam dhidi ya asie Muislam
Sent using Jamii Forums mobile app
kuchana hadharan ndio kosa mana linaleta chuki katika jamii maana waislam hawataweza kufurahia jambo hilo. Na swali la kujiuliza ni kwann Shane!!!? Huo ni uchochezi na hauna matokeo mazur hasa kwa jamii yetu hii ambayo tunashirikiana katk mambo mengi ya kijamii. Mtu yeyote Si vema kuidhihaki na kuidhalilisha imani ya Mtu mwingine na ukizingatia yeye Ni mtumishi wa umma haikupendeza yeye kuufanya hivyo.Naomba niulize hivi, hicho kitabu kinauzwa Dukani?
Je kama kinauzwa nani kakinunua?
Maana kama kakinunua mwenyewe na amekichana mwenyewe hana kosa maana ni maali yake, isipokua kama kachukua cha mtu mwenye kitabu ndio mwenye haki ya kuchukua hatua za kisheria au kusamehe
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona hakuna anayetaja kifungu cha sheria kinachompa madaraka waziri kufanya aliyoyafanya... Wengi mmetumia hisia tu za kidini na kiimani....
Huo ndio usalama wake, akiwa nje usalama wa kuendelea kupumua ni mdogo sana.
Nimemaanisha kwnn achanekuchana hadharan ndio kosa mana linaleta chuki katika jamii maana waislam hawataweza kufurahia jambo hilo. Na swali la kujiuliza ni kwann Shane!!!? Huo ni uchochezi na hauna matokeo mazur hasa kwa jamii yetu hii ambayo tunashirikiana katk mambo mengi ya kijamii. Mtu yeyote Si vema kuidhihaki na kuidhalilisha imani ya Mtu mwingine na ukizingatia yeye Ni mtumishi wa umma haikupendeza yeye kuufanya hivyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pia sijawahi ona karatasi ya Quran sehemu yoyote ikitumiwa ndivyo sivyo.Na hakuna muislamu,aliwahi kuchana Biblia,wala kufungia kitu,wala maandazi wala samaki.Kumbuka wafanyabiashara ndogo ndogo wengi ni waislamu,lakini hutaona karatasi ya Biblia amefungia hata kashata au samaki wa kukaanga,na wako makini sana,wakiona kitabu cha Biblia wanakihifadhi mahali pazuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Atashinda kesi ya kufukuzwa kazi, atapiga mpunga mrefu wa fidia.Dah, ajira yake ndio basi tena,na ivi kuna vijana wapo katika database ya utumishi wiki ijayo nafasi yake itakuwa ishazibwa.
katiba inakataza kuchoma vitambaa au kuvichana?mbona mtu akichana bendera za vyama vyenu mnakuja juu sana. Iweje mtu aje achezee mwongozo wa imani ya watu?Hapo watesema allah kamhukumu hadi kakamatwa na Polis. Hahahaaaaaaa. Hivi katiba inakataza kuchana makaratasi?
Mi mwenyewe natamani sana bikra 72 lakini nimestuka baada ya kulazimishwa nikazifaidi ahera tena kwa mtutu [emoji125]Non sense
Sasa kaka huyu anae chinjwa hapo ni MCHAWI. kila kosa linahukumu yake katika Uisla, mathalani Mchawi anauliwa kama alivyo uliwa hapo.Watu wanachanganya....hajachukuliwa na polisi ili kumuadhibu..la hasha! Amechukuliwa na polisi ili kulindwa na hasira za wafia dini...angekula kisu huyo
View attachment 1349932
Next time dont quote me in vainMi mwenyewe natamani sana bikra 72 lakini nimestuka baada ya kulazimishwa nikazifaidi ahera tena kwa mtutu [emoji125]
Sent using Jamii Forums mobile app
huyu jamaa ukitaka kuamini pale polisi ni sehem salama kwake.wamwachie kesho atakipata alichokitafutaKwenye huo umma, kuna wasioamini kinachoaminiwa na wengine kiimani