Mtumishi wa umma mbaroni kwa kuchana na kuchoma Quran, Waziri Jafo aagiza asimamishwe kazi

Mtumishi wa umma mbaroni kwa kuchana na kuchoma Quran, Waziri Jafo aagiza asimamishwe kazi

Serikali imemficha Mahabusu hadi tarehe 20 Feb, kukwepa Mkono wa Umma!

Waziri yupo sahihi kunsimamisha kwa kosa la uchochezi na kukosa Maadili

Mtumishi wa namna yake hawezo kuwa Muadilifu hasa ikitokea anapaswa kumpa haki Muislam dhidi ya asie Muislam

Sent using Jamii Forums mobile app
Huo mkono wa umma ndio mashetani wakubwa wakisingizia vitabu vinavyo chapishwa kila siku

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba niulize hivi, hicho kitabu kinauzwa Dukani?
Je kama kinauzwa nani kakinunua?

Maana kama kakinunua mwenyewe na amekichana mwenyewe hana kosa maana ni maali yake, isipokua kama kachukua cha mtu mwenye kitabu ndio mwenye haki ya kuchukua hatua za kisheria au kusamehe

Sent using Jamii Forums mobile app
kuchana hadharan ndio kosa mana linaleta chuki katika jamii maana waislam hawataweza kufurahia jambo hilo. Na swali la kujiuliza ni kwann Shane!!!? Huo ni uchochezi na hauna matokeo mazur hasa kwa jamii yetu hii ambayo tunashirikiana katk mambo mengi ya kijamii. Mtu yeyote Si vema kuidhihaki na kuidhalilisha imani ya Mtu mwingine na ukizingatia yeye Ni mtumishi wa umma haikupendeza yeye kuufanya hivyo.

Nimemaanisha kwnn achane

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ujinga wa kushika dini na Mapenzi ndicho kitu pekee Mwafrika anaweza kujipambanua Ulimwenguni. Jitu zimaaa mpaka mishipa ya mkun-d'u inasimama kisa Kitabu kilichotolewa Photocopy hapo Mtaa wa Congo kimechanwa! Akili matope kabisa Kiongozi pia kusimamisha kazi mtu kisa kachana Kitabu, SERIKALI HAINA DINI MJUE
 
Na hakuna muislamu,aliwahi kuchana Biblia,wala kufungia kitu,wala maandazi wala samaki.Kumbuka wafanyabiashara ndogo ndogo wengi ni waislamu,lakini hutaona karatasi ya Biblia amefungia hata kashata au samaki wa kukaanga,na wako makini sana,wakiona kitabu cha Biblia wanakihifadhi mahali pazuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
Pia sijawahi ona karatasi ya Quran sehemu yoyote ikitumiwa ndivyo sivyo.
 
Dah, ajira yake ndio basi tena,na ivi kuna vijana wapo katika database ya utumishi wiki ijayo nafasi yake itakuwa ishazibwa.
Atashinda kesi ya kufukuzwa kazi, atapiga mpunga mrefu wa fidia.
 
Hapo watesema allah kamhukumu hadi kakamatwa na Polis. Hahahaaaaaaa. Hivi katiba inakataza kuchana makaratasi?
katiba inakataza kuchoma vitambaa au kuvichana?mbona mtu akichana bendera za vyama vyenu mnakuja juu sana. Iweje mtu aje achezee mwongozo wa imani ya watu?
 
Back
Top Bottom