Mtumishi wa umma mbaroni kwa kuchana na kuchoma Quran, Waziri Jafo aagiza asimamishwe kazi

Afisa biashara wa Halmashauri yuko chini ya ofisi ya Raisi ? Au ndo tu-connect dots hapo ?
 
1. Kinachoshangaza ni kwamba hawa WaIslam sijasikia hata siku moja kwamba wamechana au kukojolea Biblia.
2. Lakini ajabu ni kwamba, wanaochana au kukojolea Qur'an wengi wao ni Sisi Wakristu, ambao tunaambiwa ni vichaa. Hivi mnataka kusema kuwa WaIslam ndio watu wenye akili sana kuliko Sisi Wakristu. Je, wao hakuna vichaa.
3. Hivi Sisi tumesoma sana hadi tukawa vichaa kwa sababu ya kusoma au wengi wetu tuliiba mitihani?
4. Hivi kweli kwamba tumesoma sana hadi tunahitaji mafuta ili tuokoke au tumesoma bila kuelimika.
5. Nilikuwa nimekaa mahali fulani nikasikia waIslam wanatucheka wanasema: 'Waachani wauane wenyewe kwa kukanyaga mafuta ya nguruwe'.
Hivi sisi walokole tunakwama wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo maswali kaulize boko haramu au al shabaab
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ana bahati sana hajauawa na waumini wa Kiislam, sifa nyingine za kijinga zinaponza sasa angalia anasimamishwa kazi.

Hii aione bibi yangu kipenzi FaizaFoxy
Ma shaa Allah sifa zote zimuendee Allah.

Nimesoma kutoka group la WhatsApp hii habari na kuna mtu humo kasema, Waislam wamefanya vizuri sana kumwachia, nami naunga mkono hoja yake.

Huyo "anakaanga mbuyu aache wenye meno watafune".
 
Kuchana hadharani kuna kuhusu nini wakati kitabu kakinunua yeye? Kosa kama kachukua cha mtu mwingine haya mambo ni kuendekeza upuuzi tu kwani vitabu kama hivyo vimeisha madukani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unasema hivyo ukiwa kama nani mkuu?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mfanyakazi wa serikali analewa wakati wa kazi?
 
Hapa huyu jamaa wanampotezea muda wake tu na kudekeza watu wa jamii frani kwani leo mtu akinunua Bible na kuichana nani atakuwa na muda wa kupoteza juu yake? Maana madukani zipo tele

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…