Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nashangaa sn hadi sasa sijakia mazishi ya huyo kijana yanafanyika lini,waislam wa kilosa mnakwama wapi?yn hadi polisi wanakuja kijana bado yupo hai tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
1. Kinachoshangaza ni kwamba hawa WaIslam sijasikia hata siku moja kwamba wamechana au kukojolea Biblia.
2. Lakini ajabu ni kwamba, wanaochana au kukojolea Qur'an wengi wao ni Sisi Wakristu, ambao tunaambiwa ni vichaa. Hivi mnataka kusema kuwa WaIslam ndio watu wenye akili sana kuliko Sisi Wakristu. Je, wao hakuna vichaa.
3. Hivi Sisi tumesoma sana hadi tukawa vichaa kwa sababu ya kusoma au wengi wetu tuliiba mitihani?
4. Hivi kweli kwamba tumesoma sana hadi tunahitaji mafuta ili tuokoke au tumesoma bila kuelimika.
5. Nilikuwa nimekaa mahali fulani nikasikia waIslam wanatucheka wanasema: 'Waachani wauane wenyewe kwa kukanyaga mafuta ya nguruwe'.
Hivi sisi walokole tunakwama wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ma shaa Allah sifa zote zimuendee Allah.Ana bahati sana hajauawa na waumini wa Kiislam, sifa nyingine za kijinga zinaponza sasa angalia anasimamishwa kazi.
Hii aione bibi yangu kipenzi FaizaFoxy
Kiuhalisia Waziri Hakutakiwa kuliingilia hili swala, inaonyesha ni kwakiasi gani udini upo ndani ya viongozi wakati serikali inaimba kutokuwa na Dini.
#Bagwell
Imeshindwa aisee imebidi polisi waisaidie. Allah anatetewa na polisi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mambo mengine yamalizwe Mimi naona wangempotezea tu kwani hamna nakala nyingine za hiko kitabu hapo kilosa?
MissbuNi kosa kwa sababu anasababisha migongano ambayo si ya lazima kwenye jamii. Hivi hata ukiuliza sababu ya kufanya alichofanya ni nini? Sifa tu za kijinga na utoto
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuchana hadharani kuna kuhusu nini wakati kitabu kakinunua yeye? Kosa kama kachukua cha mtu mwingine haya mambo ni kuendekeza upuuzi tu kwani vitabu kama hivyo vimeisha madukani?kuchana hadharan ndio kosa mana linaleta chuki katika jamii maana waislam hawataweza kufurahia jambo hilo. Na swali la kujiuliza ni kwann Shane!!!? Huo ni uchochezi na hauna matokeo mazur hasa kwa jamii yetu hii ambayo tunashirikiana katk mambo mengi ya kijamii. Mtu yeyote Si vema kuidhihaki na kuidhalilisha imani ya Mtu mwingine na ukizingatia yeye Ni mtumishi wa umma haikupendeza yeye kuufanya hivyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa tz hii ?haaaa ndugu amka kumekucha hiyo ndoto unayo iota ni ya kusadikika.Atashinda kesi ya kufukuzwa kazi, atapiga mpunga mrefu wa fidia.
Naomba niulize hivi, hicho kitabu kinauzwa Dukani?
Je kama kinauzwa nani kakinunua?
Maana kama kakinunua mwenyewe na amekichana mwenyewe hana kosa maana ni maali yake, isipokua kama kachukua cha mtu mwenye kitabu ndio mwenye haki ya kuchukua hatua za kisheria au kusamehe
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mfanyakazi wa serikali analewa wakati wa kazi?Kama kichwa cha habari kinavysomeka hapo juu
Nimetizama video ya yule kijana mchana Quran nilichogundua ni kuwa huyu jamaa alikuwa kalewa na hata hajielewi
Na hapo awali walibishana kama atachana Quran bas atakufa hapo hapo
Cha ajabu hajafa
Cha ajabu Quran imeshindwa kujitetea yenyewe hadi imetetewa na waziri
Lakin nafikiri huyu jamaa Endapo angechana BIBLE angepuuzwa tu
Na angepambana na kristo mwenyewe wala siyo na waziri
Maana BIBLE inajitetea yenyewe wala siyo na wanadam
Sent using Jamii Forums mobile app
awaombe msamaha waislamu au allah mwenye kitabu chake,angalia mnavyojipa mamlaka ya kuhukumu na kujitukuza,mnasahau hata nafasi zenu duniani.
huyu alikuwa wa kuachwa tu.hana tofauti na anayeua mende sababu anamchukia.
Sent using Jamii Forums mobile app