Mtumishi wa umma mbaroni kwa kuchana na kuchoma Quran, Waziri Jafo aagiza asimamishwe kazi

kifupi waziri kaingia mzima mzima bila kushika pembeni kujilinda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kaka huyu anae chinjwa hapo ni MCHAWI. kila kosa linahukumu yake katika Uisla, mathalani Mchawi anauliwa kama alivyo uliwa hapo.
Vyovyote vile alivyo fanyiwa huyo jamaa kwenye hilo tukio ni unyama, hiyo sio dini ni unyama tu.
 
Kuchana hadharani kuna kuhusu nini wakati kitabu kakinunua yeye? Kosa kama kachukua cha mtu mwingine haya mambo ni kuendekeza upuuzi tu kwani vitabu kama hivyo vimeisha madukani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ebu chukua noti ya 1000 uliyo itafuta kwa nguvu yako alafu nenda mbele ya kituo cha polisi kaichane, au kanunue bendera ya taifa nenda kaichome moto ili tukuone ushujaa wako wa kutetea upuuzi uko wapi.
 
Ndiyo Mungu atamwadhibu ila serikali imemsaidiatu kumlinda na hasira za Watu.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kaka huyu anae chinjwa hapo ni MCHAWI. kila kosa linahukumu yake katika Uisla, mathalani Mchawi anauliwa kama alivyo uliwa hapo.
Uchawi unathibitishwa kivipi?
Wameuwa mtu asie kuwa na hatia kama kosa lake ni uchawi.
 
Hapa huyu jamaa wanampotezea muda wake tu na kudekeza watu wa jamii frani kwani leo mtu akinunua Bible na kuichana nani atakuwa na muda wa kupoteza juu yake? Maana madukani zipo tele

Sent using Jamii Forums mobile app
Na ww nenda kafanye hicho alicho kifanya huyo jamaa ili na wewe tuuone ushujaa wako.
Maana naona umetokwa na mishipa kutetea upumbavu.
Na umefurahishwa na alicho kifanya huyo mpuuzi.
 
Nakubaliana na wewe kwenye maelezo yako, ila waziri hakutakiwa kuamua aliyoyaamua, kama kuna kifungu kinamruhusu kufanya hivyo tuelimishane tu.. nilitegemea afikishwe mahakani then sheria ichukue mkondo wake

Huko kwenye filamu ya Yesu, mamlaka husika si ndo ilifanya maamuzi..? Au nakosea?
 

Acha kuongea usiyoyajua,,,Quran co madaftari, vijitabu au biblia yenu,,,ile ni Quran tukufu. Mnatia huruma sana enyi wayahudi weusi
 
Ulevi wa dini ni mbaya sana, unafanya usiwe na uwezo wa kufanya mambo kwa kuangalia vitu vya maana bali unakuwa unaongozwa na hisia za kidini ukiamini unampendeza Munngu. Mara nyingi huwa nawaambia watu kuwa kama pepo ipo basi tusishangae kutokuta muumini yeyote wa dini huko, huenda pepo ikajaa wapagani watupu.
 
Mbona unabwekea upande mmoja?
Hata maji ukiyatumia sivyo yaweza kukudhuru, basi hivyo hivyo hocho kitabu japo kimetolewa copy huheshimiwa, usipokiheshimu watakuua wenye nacho au utaokolewa na hao unaowaona.
Unabisha jaribu.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…