Hao jamaa ni zero brain... Yaan wanaona uislam ndio kila kitu mashekhe wanawaaminisha hivyo wakati corona imegundulika miaka ya 60
Hakuna suala la imani zetu hata hizo unazoita imani zetu nazo ni imani za mababu huko hatujui wao walizipata wapi sie tumezikuta tu au tunazisikia.Watu tuache utumwa ,kabla ya kuja hawa waarabu na wamisionari ambao waliletwa ukristo sisi waafrica tulikua na imani zetu,naona jamaa kafanya jambo analoamini wamuachie tu aendelee na kazi na maisha yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Usipanic ndugu mm baina yeye ndio kaingia hasara maana kanunua mwenyeweNa ww nenda kafanye hicho alicho kifanya huyo jamaa ili na wewe tuuone ushujaa wako.
Maana naona umetokwa na mishipa kutetea upumbavu.
Na umefurahishwa na alicho kifanya huyo mpuuzi.
Bora wakristo wamekufa 20 tuu huko maka mnakoendaga kumpiga mawe shetani mnakufa ma elfu kwa maelfu.. hatusemi..Wakristo akili zenu zinawatosha wenyewe. Mnakanyagana na kuuana kama ng'ombe kisa mafuta. Kufungwa huyu aliechana Qur'an imewauma zaidi kuliko yule alisababisha vifo vya watu kuachiwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kutukana sio shida kama ni tabia yako haikwepeki lkn hapa tunawekana sawaMkuu,,mwishoe nitakutukana tusi baya ujue! Nimishakuambia usiifananishe Quran na vijitabu vyenu, au Bible yenu..cjui kama umenipata
Aisee...!!Kwani na yeye kafanya lile jambo la kuikashfu Qurani na kuchana kwa kifungu kipi cha sheria?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mm sioni tofauti, kukanyaga mafuta na kushika gofu la ukuta.Huwezi kulinganisha watu wanaokanyagana makka na hao wanaokanyagana kisa mafuta ya nabii feki. Pure nonesense
Sent using Jamii Forums mobile app
Huna akili ww mbona nabii Tito hamkumuachaawaombe msamaha waislamu au allah mwenye kitabu chake,angalia mnavyojipa mamlaka ya kuhukumu na kujitukuza,mnasahau hata nafasi zenu duniani.
huyu alikuwa wa kuachwa tu.hana tofauti na anayeua mende sababu anamchukia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bora wakristo wamekufa 20 tuu huko maka mnakoendaga kumpiga mawe shetani mnakufa ma elfu kwa maelfu.. hatusemi..
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakristo akili zenu zinawatosha wenyewe. Mnakanyagana na kuuana kama ng'ombe kisa mafuta. Kufungwa huyu aliechana Qur'an imewauma zaidi kuliko yule alisababisha vifo vya watu kuachiwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpuuzi na Mzembe sana huyo jamaa na ameshindwa kujiheshimu kabisa.Kuna mfanyakazi wa serikali analewa wakati wa kazi?
bado watu wanaonyesha ni jinsi gani dini hazijawasaidia kustaarabika.
kuna ushahidi asilimia nyingi tu kwamba,wapagani wamefanikiwa kuwa wastaarabu kuliko wenye hizi dini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulevi wa dini ni mbaya sana, unafanya usiwe na uwezo wa kufanya mambo kwa kuangalia vitu vya maana bali unakuwa unaongozwa na hisia za kidini ukiamini unampendeza Munngu. Mara nyingi huwa nawaambia watu kuwa kama pepo ipo basi tusishangae kutokuta muumini yeyote wa dini huko, huenda pepo ikajaa wapagani watupu.
Wakristo na waislamu wote MNA chuki dhidi ya kila mmoja alie kinyume chenu wala usisingizie upande.Wakristo mna chuki mbaya sana na uislamu yaani mmefurahi sana na wachangiaji wanazidi kujitokeza kuonesha chuki zao dhidi ya uislamu Kama Jambo zuri vile watu wanavyo changia kwa kashfa soma hizo comments ni ajabu
Sent using Jamii Forums mobile app
Aya basi na wewe nenda kafanye kama alivyo fanya huyo jamaa maana inaonekana umekifurahia kitendo chake.
Kwa sababu ni mkristo aliefanya hivi ila angekuwa muislamu wasingesema amelewa hata kama amelewa angeitwa gaidi na kashfa kibao na wale small thinker wanaojiita GREAT THINKER wangepiga kelele humu mwaka mzima
Sent using Jamii Forums mobile app