Mtumishi wa umma mbaroni kwa kuchana na kuchoma Quran, Waziri Jafo aagiza asimamishwe kazi

Mtumishi wa umma mbaroni kwa kuchana na kuchoma Quran, Waziri Jafo aagiza asimamishwe kazi

Watu tuache utumwa ,kabla ya kuja hawa waarabu na wamisionari ambao waliletwa ukristo sisi waafrica tulikua na imani zetu,naona jamaa kafanya jambo analoamini wamuachie tu aendelee na kazi na maisha yake

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna suala la imani zetu hata hizo unazoita imani zetu nazo ni imani za mababu huko hatujui wao walizipata wapi sie tumezikuta tu au tunazisikia.
 
Na ww nenda kafanye hicho alicho kifanya huyo jamaa ili na wewe tuuone ushujaa wako.
Maana naona umetokwa na mishipa kutetea upumbavu.
Na umefurahishwa na alicho kifanya huyo mpuuzi.
Usipanic ndugu mm baina yeye ndio kaingia hasara maana kanunua mwenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakristo akili zenu zinawatosha wenyewe. Mnakanyagana na kuuana kama ng'ombe kisa mafuta. Kufungwa huyu aliechana Qur'an imewauma zaidi kuliko yule alisababisha vifo vya watu kuachiwa.



Sent using Jamii Forums mobile app
Bora wakristo wamekufa 20 tuu huko maka mnakoendaga kumpiga mawe shetani mnakufa ma elfu kwa maelfu.. hatusemi..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona kama jamaa anaigiza angalia 0: 43 mpaka 0: 47 , huyu itakua katumwa kuzua taharuki ya kidini, sikiliza kauli zake.
 
Mwingine huyu
FB_IMG_15806501034692974.jpg
FB_IMG_15806500945730881.jpg
 
Shangazi Fatma Karume amesema haya yote ni matunda ya ccm. Kutesa kwa zamu
Wamefanya kutuwekea Urais kwa Kubadilishana kati ya Wakristo na Waislam.
Na mara nyingi ikifika zamu ya Wakristo wanaona sasa wakati wao kufanya watakalo!
Huyo alochoma katumwa sio amri yake. Walitaka waislam wa react lakini wamekaa kimya hawa hamaki wala kukubali kuwa provoked kama lengo haswa



Sent from my iPad using JamiiForums
 
awaombe msamaha waislamu au allah mwenye kitabu chake,angalia mnavyojipa mamlaka ya kuhukumu na kujitukuza,mnasahau hata nafasi zenu duniani.

huyu alikuwa wa kuachwa tu.hana tofauti na anayeua mende sababu anamchukia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huna akili ww mbona nabii Tito hamkumuacha

Kwa nn hua mnapenda choko choko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawana tofauti na wale wanaokanyagana Mecca kila mwaka wakimtupia mawe shetani

Hizi imani zina mengi...
Wavumiliane tu hakuna namna.
Wakristo akili zenu zinawatosha wenyewe. Mnakanyagana na kuuana kama ng'ombe kisa mafuta. Kufungwa huyu aliechana Qur'an imewauma zaidi kuliko yule alisababisha vifo vya watu kuachiwa.



Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kunywa soda mahali ulipo mazee..umeongea kweli tupu ila walevi Wa dini humu wanamzodoa mlevi mwenzao Wa pombe na mpuuzi Wa kukosa ustaarabu na uvumilivu..
Ulevi wa dini ni mbaya sana, unafanya usiwe na uwezo wa kufanya mambo kwa kuangalia vitu vya maana bali unakuwa unaongozwa na hisia za kidini ukiamini unampendeza Munngu. Mara nyingi huwa nawaambia watu kuwa kama pepo ipo basi tusishangae kutokuta muumini yeyote wa dini huko, huenda pepo ikajaa wapagani watupu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakristo mna chuki mbaya sana na uislamu yaani mmefurahi sana na wachangiaji wanazidi kujitokeza kuonesha chuki zao dhidi ya uislamu Kama Jambo zuri vile watu wanavyo changia kwa kashfa soma hizo comments ni ajabu

Sent using Jamii Forums mobile app
Wakristo na waislamu wote MNA chuki dhidi ya kila mmoja alie kinyume chenu wala usisingizie upande.
Mmelewa hizo dini mpaka mnakosa ustaarabu na shetani anawashangaa mlivofungwa ufahamu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom