Mtumishi wa umma mbaroni kwa kuchana na kuchoma Quran, Waziri Jafo aagiza asimamishwe kazi

Mtumishi wa umma mbaroni kwa kuchana na kuchoma Quran, Waziri Jafo aagiza asimamishwe kazi

Siyo bahati, wote mabwege pamoja na wale wanaojiita Masheikh waliojifanya wanaijua sana dini na wapo jela miaka 8, muendelee kijifanya mna msimamo mkali muone, hii nchi siyo ya kiislam
Ndio maana bwana mdogo akapelekwa mahakama ya Kiislam na kuhukumiwa na Kadhi, au sio?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kawaida huyo jamaa kwa kitendo alichokifanya hatakiwi hata kurudi tena kwenye kazi, inaonesha wazi ni jinsi gani hata kwenye kutoa huduma atakua alikuwa anaegemea upande moja,
Hili suala mkuu halina tofauti na la Nabii Tito ambaye alikamatwa pasina sababu ya msingi toka,toka siku ile niliona kabisa jinsi hii serikali inavyojihusisha na masuala ya kidini.
serikali lazima iingilie masuala ya kidini tu njena hapo amani haitakuwepo. unafikiri huyo jamaa asingekuwa chini police mpka saivi angekuwa wapi?
 
Katika hii dunia tunaoishi kwa raha ni tusiofungamana, juzi wazee Wa "Daddy I Receive" walikua na kibarua cha kumtetea Mwamposa, leo wavaa pedo na makubazi wana kibarua cha kutetea makaratasi

Kujitakia presha za bure tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza jafo amekosea sana huwezi msimamisha mtu kazi kwa mambo ya dini pili huo ndio uhuru wa uelewa wake kuhusu imani na anapaswa kuheshimiwa na kuombewa au kufundishwa ustaarabu katika imani hata kama haimuhusu hiyo imani. Kutumia maguvu hakusaidii.
Jafoo ameingia kwenye mtego wa udini kama waziri. Tatu. Masheikh wanapaswa kuwasamehe wale wanaokwenda kinyume na imani zao sio kusema watu walitaka kujichukulia sheria mkononi huo ni upofu wa imani.
Hivi allah hawezi kujipigania kweli?
Ukisema hivyo unakosea mkuu mbona Nabii Tito alikamatwa kwa kile alichokuwa anakifanya ina maana mungu wa wakristo alishindwa kumzuia Tito hadi polisi ndio iingilie?
 
Kwa kawaida huyo jamaa kwa kitendo alichokifanya hatakiwi hata kurudi tena kwenye kazi, inaonesha wazi ni jinsi gani hata kwenye kutoa huduma atakua alikuwa anaegemea upande moja,

serikali lazima iingilie masuala ya kidini tu njena hapo amani haitakuwepo. unafikiri huyo jamaa asingekuwa chini police mpka saivi angekuwa wapi?
Tatizo sio huko kumweka chini ya ulinzi bali kumfukuza kazi.
 
Fid Q ni scholar wa kusema una fanyia In text citation maneno yake kwenye comment yako?

ELIMU YA MTAA SIO SIFA UJUMBE TAALUMA.

Sent using Jamii Forums mobile app

Umesomea wapi ujinga?

Ni sheria ipi inasema wanaofanyiwa citation ni scholars tu? Hata nikimnukuu kichaa nitafanya citation so long as sio maneno yangu.

FidQ anaweza kuwa scholar kuliko scholars wenyewe kama akina Kabudi na Dr. Jiwe. Ndo maana nilisema there's more content to that sentence kuliko unavyodhani na ndo elimu yenyewe.
 
Kwa nini wamemuacha wasingempiga jambia moja la kichwa.

Akili zako zinainesha kiasi gani unapenda kuona damu ikimwagika, ndio shida yenu vijana wa muhammad. Mnatanguliza hasira na chuki mbele kuliko akili.
Trump anashughulika nanyinyi mnaojiita wapigania dini.


Happy dude [emoji67]‍[emoji538]
 
Tatizo sio huko kumweka chini ya ulinzi bali kumfukuza kazi.
lazima afukuzwe kazi mana anaowahudumia ni watu na wanadini na miongini mwao waislam wakiwepo,
amekiuka maadili ya kazi
hawezi toa huduma kwa usawa that why anachuki ya kidini
 
Oooooh My god!! amechana heshima yake na amechana karatasi yenye maandishiya Qurani...Hyo ni Provocation isiyo na tija !! QURAAN ipo ndani ya mioyo ya Waumini na haitoweza kunyakuliwa au kuchanwa !! Tunapo hifadhi Quraan tunaiweka kifuani na kuitumikia.....Waisalm tuwe wavumilivu na tuondoe jazba !!
Uhuni huu wa uchokozi haukuanza leo.... walishindwa wengi miaka 1441 iliyopita
Tumemsamehe aalipwa na mwenye msahafu.

Jamaa unahekima sana, natamani Wafuasi wa muhammad wangelikuwa na hekima kama yako hata huko Middle East pangekuwa shwari. Ila shida, waislam wa aina yako ni wachache sana.


Happy dude [emoji67]‍[emoji538]
 
Hicho kitabu mmiliki wake ni nani?
Kama ni kitabu chake hana kosa.
Huo ni uonevu kumshtaki au kimhukumu mtu kwa hisia za watu wengine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amefanya kosa gani?

Kwani Jafo hajui kuwa hiyo quran imehifadhiwa nyoyoni kwa waumini wa kiislamu hata ikichanwa hakuna tatizo au jafo yeye hajaiifadhi?

Twende Ibadani mkuu, Achana na hawa ndugu zetu watoto wa bimdogo.


Happy dude [emoji67]‍[emoji538]
 
Hicho kitabu mmiliki wake ni nani?
Kama ni kitabu chake hana kosa.
Huo ni uonevu kumshtaki au kimhukumu mtu kwa hisia za watu wengine

Sent using Jamii Forums mobile app
Hicho kitabu ndo kila kitu kwa waislam na ndio muongozo sahihi wa dini ya kiislam, haijilishi amekinunua yeye au la, Kosa kubwa kachana hadharani, ni sawa na kununua katiba ya nchi afu unaichana hadharani.
even kuchana pesa hadharani uliotafta wewe kwa jasho lako ni kosa
 
Back
Top Bottom