Hili suala mkuu halina tofauti na la Nabii Tito ambaye alikamatwa pasina sababu ya msingi toka,toka siku ile niliona kabisa jinsi hii serikali inavyojihusisha na masuala ya kidini.
Ndio maana bwana mdogo akapelekwa mahakama ya Kiislam na kuhukumiwa na Kadhi, au sio?Siyo bahati, wote mabwege pamoja na wale wanaojiita Masheikh waliojifanya wanaijua sana dini na wapo jela miaka 8, muendelee kijifanya mna msimamo mkali muone, hii nchi siyo ya kiislam
serikali lazima iingilie masuala ya kidini tu njena hapo amani haitakuwepo. unafikiri huyo jamaa asingekuwa chini police mpka saivi angekuwa wapi?Hili suala mkuu halina tofauti na la Nabii Tito ambaye alikamatwa pasina sababu ya msingi toka,toka siku ile niliona kabisa jinsi hii serikali inavyojihusisha na masuala ya kidini.
Ukisema hivyo unakosea mkuu mbona Nabii Tito alikamatwa kwa kile alichokuwa anakifanya ina maana mungu wa wakristo alishindwa kumzuia Tito hadi polisi ndio iingilie?Kwanza jafo amekosea sana huwezi msimamisha mtu kazi kwa mambo ya dini pili huo ndio uhuru wa uelewa wake kuhusu imani na anapaswa kuheshimiwa na kuombewa au kufundishwa ustaarabu katika imani hata kama haimuhusu hiyo imani. Kutumia maguvu hakusaidii.
Jafoo ameingia kwenye mtego wa udini kama waziri. Tatu. Masheikh wanapaswa kuwasamehe wale wanaokwenda kinyume na imani zao sio kusema watu walitaka kujichukulia sheria mkononi huo ni upofu wa imani.
Hivi allah hawezi kujipigania kweli?
Tatizo sio huko kumweka chini ya ulinzi bali kumfukuza kazi.Kwa kawaida huyo jamaa kwa kitendo alichokifanya hatakiwi hata kurudi tena kwenye kazi, inaonesha wazi ni jinsi gani hata kwenye kutoa huduma atakua alikuwa anaegemea upande moja,
serikali lazima iingilie masuala ya kidini tu njena hapo amani haitakuwepo. unafikiri huyo jamaa asingekuwa chini police mpka saivi angekuwa wapi?
Fid Q ni scholar wa kusema una fanyia In text citation maneno yake kwenye comment yako?
ELIMU YA MTAA SIO SIFA UJUMBE TAALUMA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa nini wamemuacha wasingempiga jambia moja la kichwa.
lazima afukuzwe kazi mana anaowahudumia ni watu na wanadini na miongini mwao waislam wakiwepo,Tatizo sio huko kumweka chini ya ulinzi bali kumfukuza kazi.
Oooooh My god!! amechana heshima yake na amechana karatasi yenye maandishiya Qurani...Hyo ni Provocation isiyo na tija !! QURAAN ipo ndani ya mioyo ya Waumini na haitoweza kunyakuliwa au kuchanwa !! Tunapo hifadhi Quraan tunaiweka kifuani na kuitumikia.....Waisalm tuwe wavumilivu na tuondoe jazba !!
Uhuni huu wa uchokozi haukuanza leo.... walishindwa wengi miaka 1441 iliyopita
Tumemsamehe aalipwa na mwenye msahafu.
Kwani alichoma kitabu cha nani?Uhuni kama huo hiyo ndiyo stahili yake.
Maana ni kosa la jinai,kwa hiyo ukiwa na kesi mahakamani taratibu za kazi ni lazima usimamishwe kazi.
Mimi ni mkristo ila hizo ni tabia za kipagani hazikubaliki
Sent using Jamii Forums mobile app
Amefanya kosa gani?
Kwani Jafo hajui kuwa hiyo quran imehifadhiwa nyoyoni kwa waumini wa kiislamu hata ikichanwa hakuna tatizo au jafo yeye hajaiifadhi?
Labda afungwe kwa kosa la kuchafua mazingira yaani kuwasha moto sehemu ambayo sio sahihi. Au ashtakiwe kwa kosa la kuchoma kitabu ambacho mmiliki sio yeyeKuna kanuni za maadili kwa mtumishi wa umma. Hizo zitamuondoa unless athibitike ni mgonjwa
Ni sawa na kuchana pesa mkuu.Hicho kitabu mmiliki wake ni nani?
Kama ni kitabu chake hana kosa.
Huo ni uonevu kumshtaki au kimhukumu mtu kwa hisia za watu wengine
Sent using Jamii Forums mobile app
Nasikikitika kusema kuwa haujaelewa mimi namaanisha nini.Hivi ukibishana na mtu,halafu ukatenda tendo la kinyume cha sheria,uachiwe tu,bila kufikishwa kwenye vyombo vya sheria.Huko kwenye vyombo vya sheria,ndio itajulikana,ana kosa au hana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu ndo uchafu gani?ni sahihi..utachanaje kitabu kitakatifu cha Mungu?tuheshimu imani za watu
Hicho kitabu ndo kila kitu kwa waislam na ndio muongozo sahihi wa dini ya kiislam, haijilishi amekinunua yeye au la, Kosa kubwa kachana hadharani, ni sawa na kununua katiba ya nchi afu unaichana hadharani.Hicho kitabu mmiliki wake ni nani?
Kama ni kitabu chake hana kosa.
Huo ni uonevu kumshtaki au kimhukumu mtu kwa hisia za watu wengine
Sent using Jamii Forums mobile app