Mtumishi wa umma mbaroni kwa kuchana na kuchoma Quran, Waziri Jafo aagiza asimamishwe kazi

Mtumishi wa umma mbaroni kwa kuchana na kuchoma Quran, Waziri Jafo aagiza asimamishwe kazi

Naapa kwa aliyeniumba,huyu binaadam mwenzangu nikikutana nae huku moro tachokifanya ataenda kusimulia wafu wenzake huko makaburini
Ndio mbinu aliyoitumia mwamedi kusambaza uislamu hata sikushangai
 
Jamaa unahekima sana, natamani Wafuasi wa muhammad wangelikuwa na hekima kama yako hata huko Middle East pangekuwa shwari. Ila shida, waislam wa aina yako ni wachache sana.


Happy dude [emoji67]‍[emoji538]
Shukran zenye ziada zikufikie, Hakuna kulalamika kwani misiguano na uchokozi upo ktk kila IMANI za watu..
Sisi binaadamu tuna mapungufu mengi.. FYI, Kila siku tuna koseana kwa namna tofauti.. KM:- Muislam yyte akizini (mzinifu) huyo basi kasha ichana ukurasa wa maandiko ya Qura'an.kwani alishaisoma na alikatazwa kuzini ..ila yeye kazini wkati msahafu umeandikwa { Laa takrabu Zinaa} tafsiri kuwa "Wala msikaribie zinaa" hapo yeye kavunja sharia.. pia Muislam akilewa pombe basi atakuwa nae amechana maandiko ya Imani yake!! Mwenye Kitabu ni Mwenyeezi mungu !! God bless you
 
Mwambie aache mihemuko kama ndivyo mbona kwenye swala la tito yeye kama waziri hakuhusika ila kamanda wa polisi wa mkoa husika mbona na swala la morogoro asimwachie kamanda wa mkoa huo,jaffo asijisahau cheo alichonacho ni dhamana kwa watanzania asitugawe watanzania kwa ujinga wa mtu mmoja.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekupa mfano wa Tito kuonesha hiyo mihemuko haijaanza kwa Jafo sasa ajabu wewe unamtupia lawama Jafo tu,ningekuona wa maana kama ungekemea hii mihemuko kiujumla ambayo ipo sana sasa hivi.
 
yeye aliyemruhusu kuchana hicho kitabu ndio nami ataniruhusu nimtoe uhai wake
Sasa kwa staili hii unadhani kuna mtu ataacha kuuita uislamu ni ugaidi?
Unadhani mimi nitashawishika kuwa muumini wa imani hiyo ambayo Mungu wake hawezi kujitetea?
 
bendera ya taifa letu kachome au ichanechane kisha utapata jibu.sisi waislam hicho alichochana huyu muhuni punguwani ni muhimu sana.
Wenzio wanaochanaga bendera za America na Israel huko huwa wanafanywa nini?
Alafu uliwahi kugundua wakipata nafasi ya kwenda America huwa hawaachi?
 
ULIZE KINACHOWATOKEA WACHINA NW WALIANZA KAMA YEYE, IKAFIKIA MKPA KUWAFUKUZA WAISLAM SASA WANALIA NA CORONA
 
Kitabu ambacho hakichanwi, au kukifanyia udjalilishaji mbele ya jamii, namba moja duniani inashikiliwa na quraan"

Maeneo mengine kufanya hivo ni sawa na kujitangazia kifo!

Kwenye quraan (bila kutaja kifungu) mwenyezi mungu alisema"( astaghafiru)"
Kupitia mtume wake.
S.A.W...."Nimewaachina dini yenu muilinde, lakini kitabu changu nitakilinda mimi"

Ukifanya maovu kwenye kile kitabu, hata kama hujakamtwa, uombe tu polisi wakuchukue ukakae eneo salama"

Sent using Redmi Y2
Kumbe Mungu wenu ana dini na hawezi kuilinda basi sawa
 
ULIZE KINACHOWATOKEA WACHINA NW WALIANZA KAMA YEYE, IKAFIKIA MKPA KUWAFUKUZA WAISLAM SASA WANALIA NA CORONA
Haki kama kuna mtu alitaka kusilimu leo anaacha maana atagundua waziwazi nyie ni wajinga na anakwenda kupotea.
Corona haijaanza kugundulika jana wewe stuka unapotea vibaya sana, huyo allah angekuwa na uwezo angeshawafanya mbaya sana wayahudi na marekani
 
Wakristo akili zenu zinawatosha wenyewe. Mnakanyagana na kuuana kama ng'ombe kisa mafuta. Kufungwa huyu aliechana Qur'an imewauma zaidi kuliko yule alisababisha vifo vya watu kuachiwa.



Sent using Jamii Forums mobile app
Waislamu akili zenu haziwatoshi sasa kabisa, mnauwana maelfu kwa maelfu makkah kila mwaka kwa kugusa lile jiwe la makureshi 😝😝
 
Nikajua una hoja ya kupinga kumbe una lalamika.

Ukiwa na hoja nistue nije tujadiliane.
Vyovyote vile utakavyo tetea uuwaji wa watu kama wanyama wa porini ni ukatili na unyama ulio pitiliza sio dini.
The victim had been hacked to death.
Hacking necks like trees!???
Man, ewwwh that was gross!
 
Vyovyote vile utakavyo tetea uuwaji wa watu kama wanyama wa porini ni ukatili na unyama ulio pitiliza sio dini.
The victim had been hacked to death.
Hacking necks like trees!???
Man, ewwwh that was gross!
Poa.
 
Acha kuongea usiyoyajua,,,Quran co madaftari, vijitabu au biblia yenu,,,ile ni Quran tukufu. Mnatia huruma sana enyi wayahudi weusi
Utukufu wake ni nini kuishinda Biblia? maana ina habari za kwenye Biblia kibao aliyemkopi mwenzie hawezi kuwa na utukufu kabisa
 
Mkuu,,mwishoe nitakutukana tusi baya ujue! Nimishakuambia usiifananishe Quran na vijitabu vyenu, au Bible yenu..cjui kama umenipata
Embu mtukane nikuonyeshe verse zilizoko kwenye Biblia ziko kwenye koran alafu uniambie kwanini ziko huko zilifikaje fikaje na kwanini zifanane
 
Back
Top Bottom