Ndio mbinu aliyoitumia mwamedi kusambaza uislamu hata sikushangaiNaapa kwa aliyeniumba,huyu binaadam mwenzangu nikikutana nae huku moro tachokifanya ataenda kusimulia wafu wenzake huko makaburini
Si angechoma biblia
Shukran zenye ziada zikufikie, Hakuna kulalamika kwani misiguano na uchokozi upo ktk kila IMANI za watu..Jamaa unahekima sana, natamani Wafuasi wa muhammad wangelikuwa na hekima kama yako hata huko Middle East pangekuwa shwari. Ila shida, waislam wa aina yako ni wachache sana.
Happy dude [emoji67][emoji538]
Nimekupa mfano wa Tito kuonesha hiyo mihemuko haijaanza kwa Jafo sasa ajabu wewe unamtupia lawama Jafo tu,ningekuona wa maana kama ungekemea hii mihemuko kiujumla ambayo ipo sana sasa hivi.Mwambie aache mihemuko kama ndivyo mbona kwenye swala la tito yeye kama waziri hakuhusika ila kamanda wa polisi wa mkoa husika mbona na swala la morogoro asimwachie kamanda wa mkoa huo,jaffo asijisahau cheo alichonacho ni dhamana kwa watanzania asitugawe watanzania kwa ujinga wa mtu mmoja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe Waislam wanaweza kusababisha vurugu kubwa kisa mtu kuchana Quran?Hapatetewi makaratasi,kinachotetewa ni uvunjifu wa amani.Wafikiri kitendo,cha kukashifu imani ya mtu ni kidogo?Lakini waislam,wa eneo husika,wapewe pongezi,kwa kuwa wavumilivu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kwa staili hii unadhani kuna mtu ataacha kuuita uislamu ni ugaidi?yeye aliyemruhusu kuchana hicho kitabu ndio nami ataniruhusu nimtoe uhai wake
Wenzio wanaochanaga bendera za America na Israel huko huwa wanafanywa nini?bendera ya taifa letu kachome au ichanechane kisha utapata jibu.sisi waislam hicho alichochana huyu muhuni punguwani ni muhimu sana.
Kumbe Mungu wenu ana dini na hawezi kuilinda basi sawaKitabu ambacho hakichanwi, au kukifanyia udjalilishaji mbele ya jamii, namba moja duniani inashikiliwa na quraan"
Maeneo mengine kufanya hivo ni sawa na kujitangazia kifo!
Kwenye quraan (bila kutaja kifungu) mwenyezi mungu alisema"( astaghafiru)"
Kupitia mtume wake.
S.A.W...."Nimewaachina dini yenu muilinde, lakini kitabu changu nitakilinda mimi"
Ukifanya maovu kwenye kile kitabu, hata kama hujakamtwa, uombe tu polisi wakuchukue ukakae eneo salama"
Sent using Redmi Y2
Haki kama kuna mtu alitaka kusilimu leo anaacha maana atagundua waziwazi nyie ni wajinga na anakwenda kupotea.ULIZE KINACHOWATOKEA WACHINA NW WALIANZA KAMA YEYE, IKAFIKIA MKPA KUWAFUKUZA WAISLAM SASA WANALIA NA CORONA
kwani yeye chizi?
Imeandikwa hiyo tatizo lako husomi Biblia.Hata wewe umeumbwa na Mungu lakini cha ajabu zaidi Chakula unajitafutia mwenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha ufara we jamaaHii ni mihemko isiyokuwa na maana ktk utumishi wa umma. Amemsimamisha kazi kwa kutumia kifungu kipi cha sheria za kazi? Kuna mahali pameandikwa kuwa mtumishi wa umma akichana kohorani asimamishwe kazi? Aache hizo. Analogia Malenga,
Sent using Jamii Forums mobile app
Dini gani sasa hiyo ya kuuana?Wangemuachia tu kesho wangekuta maiti.
Waislamu akili zenu haziwatoshi sasa kabisa, mnauwana maelfu kwa maelfu makkah kila mwaka kwa kugusa lile jiwe la makureshi 😝😝Wakristo akili zenu zinawatosha wenyewe. Mnakanyagana na kuuana kama ng'ombe kisa mafuta. Kufungwa huyu aliechana Qur'an imewauma zaidi kuliko yule alisababisha vifo vya watu kuachiwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Vyovyote vile utakavyo tetea uuwaji wa watu kama wanyama wa porini ni ukatili na unyama ulio pitiliza sio dini.Nikajua una hoja ya kupinga kumbe una lalamika.
Ukiwa na hoja nistue nije tujadiliane.
Poa.Vyovyote vile utakavyo tetea uuwaji wa watu kama wanyama wa porini ni ukatili na unyama ulio pitiliza sio dini.
The victim had been hacked to death.
Hacking necks like trees!???
Man, ewwwh that was gross!
Utukufu wake ni nini kuishinda Biblia? maana ina habari za kwenye Biblia kibao aliyemkopi mwenzie hawezi kuwa na utukufu kabisaAcha kuongea usiyoyajua,,,Quran co madaftari, vijitabu au biblia yenu,,,ile ni Quran tukufu. Mnatia huruma sana enyi wayahudi weusi
Embu mtukane nikuonyeshe verse zilizoko kwenye Biblia ziko kwenye koran alafu uniambie kwanini ziko huko zilifikaje fikaje na kwanini zifananeMkuu,,mwishoe nitakutukana tusi baya ujue! Nimishakuambia usiifananishe Quran na vijitabu vyenu, au Bible yenu..cjui kama umenipata
Mimi kwani naumia? Hata chembe!
Wewe kwani unaumia?
Au ndo unafurahia?
Mimi sifurahii wala siumii
Ni sawa na waislam maelfu wanaokufa kwenye hija mimi siumii wala sifurahii.