Mtumishi wa umma mbaroni kwa kuchana na kuchoma Quran, Waziri Jafo aagiza asimamishwe kazi

Hakuna jaziba,ndio maana wamefuata sheria.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jikite kwenye mada,mada ni kuchanwa kwa kitabu,chenye maandishi,muhimu kwa watu fulani.Wafikiri huyu,angechana hata cheti cha shule cha mtu,na huyo mtu yupo,mbele take,asingemshtaki?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna uchawi, na uchawi hauthibiti, ni hisia zao na woga wao tu zimetawala maamuzi yao.
 
Kikwajuni One acha mihemko. Umesoma alichoandika Zurri ? Kila mjadala una kiini chake.

Hicho cheti kama hakina maana kwa huyo mtu hawezi kuhamaki. Hapa kinachojadiliwa ni utukufu wa Qur'aan na Zurri kajibu vizuri sana. Zurri kajibu vizuri sana nini maana ya Qur'aan na mjadala na mimi ukaishia pale.
 
Hivi kwa akili yako ndogo,hujui kama huyo alivyofanya ni vurugu.Au wataka kumtetea kwa vile,wafikiria ni mkristo,ni wapi katika mafundisho ya Kirsto,yanayosema,kuharibu au kuchana kitabu cha imani nyingine,unaruhusiwa.Kwa wakristo wanaojielewa,pia lazima wapinge kitendo hicho.Hakuna mafunzo ya dini yoyote,yanaoruhusu kuchana kitabu cha dini nyingine,ndio ukaona toka Biblia iwepo,hakuna kumbukumbu yoyote ya muislamu,kuchana Biblia.
Kumbe Waislam wanaweza kusababisha vurugu kubwa kisa mtu kuchana Quran?
Mbona hiyo imani inakashifiwa sana hata hapa JF?
Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuguswa na mtu,na hakufanywa kitu,ni sheria inachukuwa mkondo wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Umekiona alichokiandika huyo dem kuwa angepigwa jambia la kichwa?
Yani Kikwajuni kuna Mkristo akiona mnaandika hayo atasilimu?

Au mtamuaminisha kwa njia gani tena anayesema uislamu na waislamu ni magaidi kuwa ninyi ni watu wa amani na upendo?
 
Na vipi yale makanisa waislam waliyoyachoma zenji?
 
Watu wanasilimu kwa hoja,sio kwa akili zako wewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani hoja yako hasa ni ipi?
Vifungu alivoviweka vimekosewa? Au sio vya kweli?
Au hujapenda tu vifungu kuwekwa hadharani kwasababu tu kuna watu wamesomea miaka minne na wapo kimya?

Elimu bila kuelimika!

Sent using Redmi Y2
Achana nae huyo, humu JF hatujuani kikweli ndio sababu

ᴸᵉᵍᵉⁿᵈᵃʳʸ [emoji377]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…