Mtumishi wa umma mbaroni kwa kuchana na kuchoma Quran, Waziri Jafo aagiza asimamishwe kazi

Utukufu wake ni nini kuishinda Biblia? maana ina habari za kwenye Biblia kibao aliyemkopi mwenzie hawezi kuwa na utukufu kabisa

Ninyi viumbe wa ajabu sanaa, mtamteteaje mtu aliechoma kitabu tukufu! Ulishawai kuckia au kushuhudia Muislamu akichana bible yenu? Hakuna! Na ndio biblia yenu haiwezi lingana na Quran hata kidogo,Hata tukiamua leo kuichana haitatuletea madhara yoyote icpokua tunaheshimu tu imani zingine, na haitatokea kwa cc waislamu kufanya upumbavu kama mfanyavyo ninyi manaswara/wayahudi weusi.

ii) Qur’an Yenyewe inajieleza kuwa ni ufunuo kutoka kwa Mwenyezi Mungu (s.w.) wakati biblia yenu imetungwa tu na binadamu wenzio.

Ukiisoma Qur’an kwa makini utakuta kuna aya nyingi zinazojieleza kuwa Qur’an imeshushwa kutoka kwa Mwenyezi Mungu, kama inavyodhihirika katika aya chache zifuatazo:

Lakini Mwenyezi Mungu anayashuhudia kuwa aliyokuteremshia (kuwa ni haki) ameyateremsha kwa ilimu yake, na Malaika (pia) wana shuhudia. Na Mwenyezi Mungu anatosha kuwa shahidi. (4:166).

"Uteremsho wa Kitabu hiki hauna shaka kuwa umetoka kwa Muumba wa ulimwengu. Je, wanasema: "Amekitunga mwenyewe." (Sivyo hivyo). Bali hicho ni haki itokayo kwa Mola wako ili uwaonye watu wasiojua na muonyaji kabla yako. Huenda wakaongoka". (32:2-3).

Na Kitabu tulichokuletea kwa wahyi ndicho cha haki, kinachosadikisha (vitabu) vilivyokuwa kabla yake. Bila shaka Mwenyezi Mungu kwa waja wake ni mwenye kuwajua vyema na kuwaona vizuri." (35:31).

Ni mwenye kuleta baraka (kweli kweli) yule Aliyeteremsha Qur’an kwa mja wake, ili awe muonyaji kwa walimwengu wote. (25:1).
 
Huyo mungu wenu ndo anajua kiarabu tu?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ninyi viumbe wa ajabu sanaa, mtamteteaje mtu aliechoma kitabu tukufu!
Hakuna anayetetea alichokifanya tunachopinga ni kusimamishwa kwake kazi kwa sababu ya kuchana kitabu.

Ulishawai kuckia au kushuhudia Muislamu akichana bible yenu? Hakuna!
Sio kusikia tu nimeona na ushahidi upo kibao, ni kitu ambacho hakitusumbui kabisa sisi. Usiwe mwepesi wa kutoa hitimisho la jambo ambalo hujalichunguza

Na ndio biblia yenu haiwezi lingana na Quran hata kidogo,
Hahahaha! Kwa hiyo hakuna aya zinazofanana kabisa na za kwenye Biblia zilizoko kwenye koran?
Sitafuti ulinganifu mimi kwa sababu Biblia ni pana ajabu wewe unajua Baba Yosefu alifanywa nini baada ya Kristo kufa?

Hata tukiamua leo kuichana haitatuletea madhara yoyote icpokua tunaheshimu tu imani zingine,
Uislamu hauna religious intolerance na zipo aya kibao zinawakataza kuwa na urafiki na watu wasioamini mnachoamini ninyi, uislamu unakataza mtu asitoke kwenye hiyo dini akitoka auwawe ni kwa uchache tu ili kukuthibitishia hiko kitu (HESHIMA KWA IMANI ZINGINE KWENU HAKIPO)

na haitatokea kwa cc waislamu kufanya upumbavu kama mfanyavyo ninyi manaswara/wayahudi weusi.
wameshafanya wenzako sana yani sanaaa kwakuwa sisi hatuangaishwi na upumbavu wala hatusumbuki nao.

ii) Qur’an Yenyewe inajieleza kuwa ni ufunuo kutoka kwa Mwenyezi Mungu (s.w.) wakati biblia yenu imetungwa tu na binadamu wenzio.
Sasa kama yetu imetungwa na wanadamu iweje maneno yake yawemo kwenye kitabu chenu cha mnyazi mungu?

Hahahaha! Sasa kama alikiteremsha huyo mnyazi mungu iweje maneno ya kwenye Biblia ayaweke kwenye kitabu chake?
Au unaendelea kubisha nishushe aya zilizoko kwenye Biblia na ziko kwenye koran?
 
Kutukana sio shida kama ni tabia yako haikwepeki lkn hapa tunawekana sawa

Sent using Jamii Forums mobile app

Kiukweli cjawai tukana mtu humu,,ila 2napoelekea utanifanya nibigwe ban. Sasa utamwekaje mtu sawa kwa kutetea upumbavu! Yani ninyi nikiwaletea ata mtoto umri wa miaka 5 au 7 wa kiislamu atawanyamazisha, inshort hamuna hoja nyie. Ulishawai kusikia au kushuhudia Muislamu akichana bible yenu? Hakuna! Na ndio biblia yenu haiwezi lingana na Quran ata kidogo,Hata tukiamua leo kuichana haitatuletea madhara yoyote icpokua tunaheshimu imani zingine, na haitatokea kwa cc waislamu kufanya upumbavu kama mfanyavyo ninyi manaswara!

ii) Qur’an Yenyewe inajieleza kuwa ni ufunuo kutoka kwa Mwenyezi Mungu (s.w.) wakati biblia yenu imetungwa tu na binadamu wenzio.

Ukiisoma Qur’an kwa makini utakuta kuna aya nyingi zinazojieleza kuwa Qur’an imeshushwa kutoka kwa Mwenyezi Mungu, kama inavyodhihirika katika aya chache zifuatazo:

Lakini Mwenyezi Mungu anayashuhudia kuwa aliyokuteremshia (kuwa ni haki) ameyateremsha kwa ilimu yake, na Malaika (pia) wana shuhudia. Na Mwenyezi Mungu anatosha kuwa shahidi. (4:166).

"Uteremsho wa Kitabu hiki hauna shaka kuwa umetoka kwa Muumba wa ulimwengu. Je, wanasema: "Amekitunga mwenyewe." (Sivyo hivyo). Bali hicho ni haki itokayo kwa Mola wako ili uwaonye watu wasiojua na muonyaji kabla yako. Huenda wakaongoka". (32:2-3).

Na Kitabu tulichokuletea kwa wahyi ndicho cha haki, kinachosadikisha (vitabu) vilivyokuwa kabla yake. Bila shaka Mwenyezi Mungu kwa waja wake ni mwenye kuwajua vyema na kuwaona vizuri." (35:31).

Ni mwenye kuleta baraka (kweli kweli) yule Aliyeteremsha Qur’an kwa mja wake, ili awe muonyaji kwa walimwengu wote. (25:1).
 
Alichofanya Ni kitendo kinachohatarisha Amani na utulivu
Ndio maana amekamatwa akapambane na sheria za nchi kwa mujibu wa katiba, Sasa amaesimamishwa kazi kwa sababu gani wakati tukio alilofanya halihusiani na kazi yake? Kwa mfano, je, mbunge akikamatwa kwa sababu ya uvunjifu wa amani spika humfukuza bungeni?
 
Hahahahaha kiarabu ndio nini sasa?
Yani kuwekwa Cello kwa mwanaume ni kitu cha kawaida sana hata hakishitui labda uwe na udada ndani yako.

Eti asalimie makiarabu 😏

Qur'an imetetemshwa kwa lugha ya kiarabu, na hata kaburini na siku ya hukumu tutaulizwa kwa lugha ya kiarabu. Na sio kiswahili, kikurya, kiingereza wala lugha yoyote ile.

Wazungu wamewapotosheni nyie viumbe 😂😂
 
Wewe unahamisha mada sasa,
Unataka tuanze kujadili kama ni kitabu cha kweli na kimeshuswa na Allah?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe sijui ukoje 😝😝
Mimi ni Mkristo nataka kusilimu nakutana na muislamu anasema atamkata jambia la kichwa au atamuua anayechana makaratasi ya koran unadhani nitaendelea na hiyo safari ya kujisilimisha?
WaooW.. Kaka mpendwa ndg raia mwenzangu Karibu hapo umenena maneno asilimia kubwa ushaingiza mguu mmoja ktk Uisalamu ..Amini usiamni Hakuna mambo ya jambia wala kutukana ktk uislam.. hizo uzisikiazo na jazba binafsi na Samahani kusema DMP (Daily Media Propagandas) Nakuhakikishia kuna Amani na ridhaa ya nafsi hutoipata kokote...
Kesho kutwa April tunapokea Mwezi mtukufu wa RAMADHANI nawe utahakikisha... Tafadhwal karibu ktk dini yenye DEMOKRASIA pana na huru. (hata ukitaka wake 4 utapatiwa..muhimu uwe vizuri)
 
Wayahudi wala hawaamini ukristo,ukristo wala hautangazwi kwa kiebrania,wakristo wala hawahitaji kuvaa kama wayahudi au kufuata mila zao. Nyie waarabu weusi ndio mnatenda,kuvaa na kutumia lugha za waarabu wenzenu.
Acha kuongea usiyoyajua,,,Quran co madaftari, vijitabu au biblia yenu,,,ile ni Quran tukufu. Mnatia huruma sana enyi wayahudi weusi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…