Mtumishi wa umma mbaroni kwa kuchana na kuchoma Quran, Waziri Jafo aagiza asimamishwe kazi

Nimeona vodeo jamaa kasema "Mnamtetea Mungu wenu badala ajitetee mwemyewe" japo siungi mkono kitendo alichokifanya cha kuchana quran, lakini kwa comment za waislam ninazoziona humu jamaa yupo sahihi (si kwa kuichana quran bali kwa maneno yake)

Waislam acheni hoja zisizo na mashiko sijui jamaa afukuzwe kazi, au apigwe majambia.. Sijui auwawe watu wapate pepo kupitia mgongo wake, huo ni udhaifu na udumanzi wa akili, kama neno la Mungu wenu Allah limechanwa na yeye huyo Allah ana nguvu na uwezo wote according to imani yenu basi yeye ndiye atamuadhibu kutokana na ukubwa wa kosa alilolifanya jamaa.

Narudia tena siungi mkono kitendo alichokifanya jamaa ila hoja zenu za kutaka jamaa adhuriwe zinanipa wasiwasi kua huenda ni kweli mnamtetea Mungu wenu Allah instead ya yeye kujitetea mwenyewe wakati kadiri ya imani yenu huo uwezo anao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natetea kazi yake sio kuchana kwake likitabu lililochapwa na printer za mchina mnaosema allah kawapa corona [emoji13][emoji13]
Uliyemtuma yupo korokoroni. Nenda ukamwekee dhamana! Au ulitakaa aachwe hadharani ili auawe na wewe ufurahie kufa kwake ili ukusanye rambirambi. Ulimpa ushauri mbaya sana mdogo wako kwa tamaa ya kupata rambirambi za mengi wenzako wa Kilosa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani Tito alikuwa mtumishi wa Tamisemi?

Hujuwi kuwa huyo mchoma Qur'an boss wake wa Tamisemi ni Jaffo?
 
Sasa manabii na mitume wote wa kale kabla ya ujio wa mwamedi na dini yake watajibu kwa lugha gani?
jiulize watoto wadogo watajibu kwa rugha gani?Wewe mwenyewe utajibu kwa lugha gani? maana lugha ya unaye muamini huyo tofauti na lugha yako.kuna maswali mengine hupaswi kujiuliza kwa mwenye akili timamu. wapi huyo yesu aliongea lugha yako wewe?
 
 
Kumbe Mungu wenu ana dini na hawezi kuilinda basi sawa
huyo yesu mbona hakuweza kujilinda na msalaba? tena alikuwa anakimbilia milimani huko kujificha.acheni porojo kizazi cha nyoka nyie.
 
Sasa kama hoja ni hiyo si jeshi la polisi tayari limemkamata na watamfungulia mashtaka kwa mujibu wa katiba? Kusimamishwa kazi kunakujaje? Kwani amevunja sheria za kazi?
kwani wewe hujui kwamba ukishtakiwa na kazi unasimamishwa? uko too shallow kumbe!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao wanaowambia waipiganie dini hivi kwani wao hawataki kwenda peponi, sijawahi kuona wala kusikia kiongozi mkubwa yoyote wa kiislam au hao waislamu magaidi wakivaa mabomu kwenda kujilipua.. Siku zote wanaokufa ni mafala wadogo wadogo hata nchi za kiarabu huko wanaojitoa mihanga au wanaokua front line vitani ni watu wadogo wasiokua na hatia zaidi ya kuponzwa na ujinga wao.. Kama Mungu wao hawezi kuipigania dini yake mwenyewe how come hawa wakina kajamba nani wataweza
Uipiganie dini ili iweje? Utapata faida gani kwa kufanya hivyo? Hembu za kuambiwa changanya na za kwako.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni suala la hekima tu ya mtu,ila ulabu twanya sana na huingizia taifa mapato mengi sana!
Si hekima pekee. Soma...

1 Wakorintho 6:
9 Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti,
10 wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang'anyi.
 
life is Short nimecheka sana
 
😏😏😏
 
Hawa wanadanganywa sana,kama wangejiongeza hata kidogo tu,wasengukubali kusikiliza huo upupu wanaoaminishwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
jiulize watoto wadogo watajibu kwa rugha gani?Wewe mwenyewe utajibu kwa lugha gani? maana lugha ya unaye muamini huyo tofauti na lugha yako.kuna maswali mengine hupaswi kujiuliza kwa mwenye akili timamu. wapi huyo yesu aliongea lugha yako wewe?
Mungu ninayemwamini amuhukumu mtu wa lugha yake, jinsia yake wala matendo yake maovu Mungu ninayemwamini anamuhukumu mtu kwa sababu moja tu ya kutokumuamini Kristo.

Matayo:28.19
Basi, enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu;
Matayo:28.20
na kuwafundisha kuyashika yote niliyowaamuru ninyi; na tazama, mimi nipo pamoja nanyi siku zote, hata ukamilifu wa dahari.
Marko:16.15
Akawaambia, Enendeni ulimwenguni mwote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe.
Marko:16.16
Aaminiye na kubatizwa ataokoka; asiyeamini, atahukumiwa.
Marko:16.17
Na ishara hizi zitafuatana na hao waaminio; kwa jina langu watatoa pepo; watasema kwa lugha mpya;
Marko:16.18
watashika nyoka; hata wakinywa kitu cha kufisha, hakitawadhuru kabisa; wataweka mikono yao juu ya wagonjwa, nao watapata afya.
Matayo:24.14
Tena habari njema ya ufalme itahubiriwa katika ulimwengu wote, kuwa ushuhuda kwa mataifa yote; hapo ndipo ule mwisho utakapokuja.

Ieleweke kwamba yeyote amuaminiye Kristo hawezi kutenda uovu
 
Hawatahukumiwa kabisa endapo walitekeleza hili

Marko:16.16
Aaminiye na kubatizwa ataokoka; asiyeamini, atahukumiwa.
 
Acha kuhesabu dhambi za watu Biblia ni mtambuka sana ndio maana Kristo alisema makahaba watakuwa wakwanza kuurithi ufalme wa mbingu.

1 Wakorinto 6:11
"Na baadhi yenu mlikuwa kama hao, lakini mlioshwa, mlitakaswa, mlihesabiwa haki kwa jina la Bwana Yesu Kristo na katika Roho wa Mungu wetu "
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…