Mtumishi wa umma mbaroni kwa kuchana na kuchoma Quran, Waziri Jafo aagiza asimamishwe kazi

Sema tu tunamuamini mtume Issa/Yesu,ila nilitaka niuulize swali la kipuuzi kama ulilo uliza lako.
Ondoa shaka, jibu hili alafu uulize hilo swali lako..
Point of correction: Issa ndio Yesu lakini Yesu Kristo sio Issa
 
Hivi chief kwani amefukuzwa au amesamishwa? Ninavyoelewa kusimamishwa kuna uwezekano wa kuachishwa au kurejeshwa kazini.

Kusimamishwa sio kuachishwa

ᴸᵉᵍᵉⁿᵈᵃʳʸ
[emoji377]
Unaposimamishwa lazima uwe umekiuka taratibu fulani za kazi. Sasa je hapo tujiulize yeye alikiuka taratibu ipi ya kazi. Yeye alistahili kukamatwa kwa kudharau dini ya wenzake na kuhatarisha amani na usalama .
 
Hoja yangu ni kwamba kuna sheria ambazo zinatuzuia kufanya lolote tu tujisikialo kufanya hakuna mtu mwenye uhuru wa kufanya lolote tu.
Na mimi nakwambia unachoona cha maana kwako kwa wengine ni upumbavu , tusilazimishane
 
Angechoma biblia nacho si kitabu kitakatifu. Huu ni uchokozi wa dhahiri kutaka kuleta machafuko ya kidini.jafo weka ndani huyo fala.
Zamani tuliaminishwa ukichhana unakuwa chizi.

Kumbe Ilikuwa mikwara.

Hii imekuwa chachu ya watu kujaribu hivyo japo ni jambo Baya kuchana Quran au bibilia
 
Huko kuchana kwenyewe ndio uchizi,wewe wataka uchizi upi,kichaa ndiye anayechana makaratasi ovyo..
Zamani tuliaminishwa ukichhana unakuwa chizi.

Kumbe Ilikuwa mikwara.

Hii imekuwa chachu ya watu kujaribu hivyo japo ni jambo Baya kuchana Quran au bibilia
Mwenye akili sawa sawa,hawezi kuchana karatasi ovyo ila mkichaa,anaweza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na mimi nakwambia unachoona cha maana kwako kwa wengine ni upumbavu , tusilazimishane
Mimi mbona sijazungumzia nachoona mie cha maana bali mie nimekuweka sawa tu kwamba hatuna uhuru wa kufanya chochote tunachojisikia. Kwahiyo sio mie ninayelazimisha bali ni sheria.
 
Mimi mbona sijazungumzia nachoona mie cha maana bali mie nimekuweka sawa tu kwamba hatuna uhuru wa kufanya chochote tunachojisikia. Kwahiyo sio mie ninayelazimisha bali ni sheria.
Taja hiyo sheria inayokataza mtu kuchana QURAN ?
 
Taja hiyo sheria inayokataza mtu kuchana QURAN ?
Mie sijazungumzia Qur'an nimezungumzia kiujumla kwamba kuna sheria zenye kutuzuia kufanya tu lolote tunalolitaka hivyo kama wewe unachana Qur'an haina maana upo huru kufanya lolote kwamba kila unaloona wewe sio muhimu unaweza kulifanya.
 
Mambo yameanzia kwenye QUR'AN , nchi hii haina Dini , kuna sheria yeyote mtu akichana QURAN adhabu yake imeandikwa katika katiba ya nchi hii ?
 
Zamani tuliaminishwa ukichhana unakuwa chizi.

Kumbe Ilikuwa mikwara.

Hii imekuwa chachu ya watu kujaribu hivyo japo ni jambo Baya kuchana Quran au bibilia
Nadhani ilikusudia kwamba kwakua Qur'an ni kitabu cha Mwenyezi Mungu basihatofurahishwa na kitendo cha kuharibu neno lake ( which is true) kwahivyo kwa wenye imani bado tunamini kuharibu vitabu vitakatifu utapatwa na madhara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…