Mtumishi wa umma mbaroni kwa kuchana na kuchoma Quran, Waziri Jafo aagiza asimamishwe kazi

Mtumishi wa umma mbaroni kwa kuchana na kuchoma Quran, Waziri Jafo aagiza asimamishwe kazi

Nchi haiongozwi kwa katiba na sheria pekee

Kuna best practice na hii ipo Dunia nzima

Sent using Jamii Forums mobile app
Inaongozwa na kitu gani kingine?? Miongozo, bylaws, maelelezo etc hutoka kwenye sheria mama. Si sahihi kutumia utashi wa mtu mmoja.... taharuki huanzia hapo... ukumbuke kila mtu ana watu anaowatazama kama maadui...
 
dunian sijawah sikia mwislamu kachana bible ila wao dah ipo cku

Sent using Jamii Forums mobile app
Muislamu hawezi chana injiri katu,sababu tunatambua uwepo wake licha ya mapungufu ila kimetoka kwa allah.tatizo watu wengi ktk wagalatia hawana elimu ya kitabu hicho wanacho jinasibisha nacho kuwa chakwao,na pia hawatambui historia za mitume walikuja vipi na kwampangilio upi.ndio maana haishangazi kiongozi wa kigaratia kula nguruwe au waumini kunywa pombe na wala hawaoni kama nikosa. Huyo hakuwa wakupeleka gerezani unapoona mmea mbaya unachipua ktk mimea ilio nafaida usahihi ni kuuondoa ule mbaya ndio lugha yakueleweka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
huyu jamaa ukitaka kuamini pale polisi ni sehem salama kwake.wamwachie kesho atakipata alichokitafuta
Sizungumzii polisi, nisemacho kinahusu maamuzi ya waziri... kukaa polisi ni lazima na ndo salama kwake...
 
Vip wale walio hubiri uchomaji makanisa, na wakatekeleza??

Na wale wanao hubiri baadhi ya watu waueliwe tena viongozi??
Vipi na wale wanahubiri hadhalani kuwa jamiii fulani au watu wa dini fulan wauliwe, wanakamatwa??
Wale ambao wana lazimisha dini nyingine zifate dini yao kipindi chao kama mfungo, na ukikutw unakula msimu huo unafanyiwa vurugu, unapigwa vipi wali kamatwa?

WATU WAACHE DOUBLE STANDARD.

Sent using Jamii Forums mobile app



Muwe waelewa bac ninyi manaswara/wayahudi weuc Hebu lete hilo andiko/ aya inayosema hayo unayoropoka!!
 
Ulevi wa dini ni mbaya sana, unafanya usiwe na uwezo wa kufanya mambo kwa kuangalia vitu vya maana bali unakuwa unaongozwa na hisia za kidini ukiamini unampendeza Munngu. Mara nyingi huwa nawaambia watu kuwa kama pepo ipo basi tusishangae kutokuta muumini yeyote wa dini huko, huenda pepo ikajaa wapagani watupu.
Aya basi na wewe nenda kafanye kama alivyo fanya huyo jamaa maana inaonekana umekifurahia kitendo chake.
 
Ujinga wa kushika dini na Mapenzi ndicho kitu pekee Mwafrika anaweza kujipambanua Ulimwenguni. Jitu zimaaa mpaka mishipa ya mkun-d'u inasimama kisa Kitabu kilichotolewa Photocopy hapo Mtaa wa Congo kimechanwa! Akili matope kabisa Kiongozi pia kusimamisha kazi mtu kisa kachana Kitabu, SERIKALI HAINA DINI MJUE


Jitathmini upya mjomba,,,tena wa kukata kichwa
 
Kama kichwa cha habari kinavysomeka hapo juu

Nimetizama video ya yule kijana mchana Quran nilichogundua ni kuwa huyu jamaa alikuwa kalewa na hata hajielewi

Na hapo awali walibishana kama atachana Quran bas atakufa hapo hapo

Cha ajabu hajafa

Cha ajabu Quran imeshindwa kujitetea yenyewe hadi imetetewa na waziri

Lakin nafikiri huyu jamaa Endapo angechana BIBLE angepuuzwa tu

Na angepambana na kristo mwenyewe wala siyo na waziri

Maana BIBLE inajitetea yenyewe wala siyo na wanadam

Sent using Jamii Forums mobile app
Imeshindwa aisee imebidi polisi waisaidie. Allah anatetewa na polisi

Sent using Jamii Forums mobile app


Dooooh!😌 our GREAT THINKERS....😌🚶🏿🚶🏿🚶🏿
 
provocation ya kijinga kabisa hii kuwatafuta sababu tu hao wenzetu.
Na ukristo wangu siwezi kukubaliana na upuuzi kama huu.
Akae ndani kwanza utoto umwishe.
 
Kuchana hadharani kuna kuhusu nini wakati kitabu kakinunua yeye? Kosa kama kachukua cha mtu mwingine haya mambo ni kuendekeza upuuzi tu kwani vitabu kama hivyo vimeisha madukani?

Sent using Jamii Forums mobile app


Mkuu,,mwishoe nitakutukana tusi baya ujue! Nimishakuambia usiifananishe Quran na vijitabu vyenu, au Bible yenu..cjui kama umenipata
 
Ebu chukua noti ya 1000 uliyo itafuta kwa nguvu yako alafu nenda mbele ya kituo cha polisi kaichane, au kanunue bendera ya taifa nenda kaichome moto ili tukuone ushujaa wako wa kutetea upuuzi uko wapi.
Unachanganya kwa mifano isiyoendana fedha na bendera ya taifa ni alama za taifa, sheria inasema hivyo ukichana au kudhalilisha ni kosa kisheria. Hii ni kwamujibu wa civics tuliyofundishwa form one.
Sasa vitabu vya dini na vingine vyote havina sheria inayolazimisha mtu avitunze kikubwa asichafue mazingira akiwa anavichoma au kuvichana.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama kichwa cha habari kinavysomeka hapo juu

Nimetizama video ya yule kijana mchana Quran nilichogundua ni kuwa huyu jamaa alikuwa kalewa na hata hajielewi

Na hapo awali walibishana kama atachana Quran bas atakufa hapo hapo

Cha ajabu hajafa

Cha ajabu Quran imeshindwa kujitetea yenyewe hadi imetetewa na waziri

Lakin nafikiri huyu jamaa Endapo angechana BIBLE angepuuzwa tu

Na angepambana na kristo mwenyewe wala siyo na waziri

Maana BIBLE inajitetea yenyewe wala siyo na wanadam

Sent using Jamii Forums mobile app
Chaajabu sijui kwanini polisi wamempeleka gerezani! Wangemuacha tu ili wengine wapate pepo kupitia mgongo wake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom