mtumwa hauawi jamani......

mtumwa hauawi jamani......

Umenikumbusha kitu,

Kuna makabila, mwanamume akioa mke mwenye mtoto mdogo anaweza kumuua ili mwanamke asipoteze muda kunyonyesha na kuchelewesha jitihada zake za kutafuta mtoto wa kwake (kama wanavyofanya simba)!!

Jambo gumu sana ila ni fact ambayo hatuwezi kuikimbia!!

Babu DC!!

Hii kali na mpya kwangu......ama kweli Mama Tuli kua uyaone mweeeh
 
Kaunga,Moja kati ya misimamo yangu niliyojiwekea ni kumwambia ukweli mwanamke yoyote ninaetaka kuanzisha uhusiano nae!I dont care atanionaje!I knw its gud for both of us!And from that nimegundua wanawake wengi they can't handle the truth,hata awe educated namna gani.Lakini naamini wapo wachache wanaoweza!

Nakuhakikishia wapo, kwahiyo endelea na msimamo wako ni mzuri sana. Kama yy akishindwa kubeba ni juu yake lakini wewe mzigo umeshautua!!!
 
hivi mtu kusema ana mtoto ni kitu cha kupongezwa au ni wajibu wake?

Hivi inakuwaje mtoto au kuwa mtaliki inakuwa siri?
 
Hii kali na mpya kwangu......ama kweli Mama Tuli kua uyaone mweeeh

Ina maana ndiyo unasikia hii story ya wanaume kuua watoto wa wake zao?

Halafu hilo kabila wanaamini kwamba njia rahisi ni kwa mwanamume kutumia uume wake kumuua mtoto.

Ni hivi...wanaamini kuwa endapo baba na mama wamemaliza kufanya tendo la ndoa, na baba akachukua ule uume wake na kumpiga nao mtoto kichwani basi huyo mtoto lazima atakufa papo hapo....Hii haijali kama mtoto ni wake au la...

Kwa hiyo, hao watu nasikia walikuwa wanatumia hiyo silaha!!

Wanadamu kama wanyama. Si bora kutokuolewa tu!!!

Mbona binadamu ni wanyama kama wanyama wengine? Au hukujua?

Yaani Lizzy kuna vitu humu ndani nimejifunza loooh kumbe binadamu ndivyo tulivyooo......mmmhhhh nazidi kuogopa aseee

Ni vizuri kama umejifunza kitu....

Naomba tu watu waelewe kwamba tunayasema haya si kwa ajili ya kuwaumiza dada zetu au watu wengine ambao wako kwenye hali hiyo ila kuweka wazi baadhi ya hidden facts ili zitusaidie huko tuendako!

Babu DC!!
 
Hiyo inaitwa killing me softly......ni utaratibu mzuri tu Kaunga unazuia watu wasinywe sumu.

dah hiyo staili ni mbaya, kwanza itakuumiza miaka mingi na unaweza usijue ndo kaondoka, unajipa mahope labda umemuudhi kitu kidogo tu, itakufanya uanze kujiombesha samahani hata kosa ulijui, mpaka uje uamue kuondoka ni umeumia mpaka ukatosha

Napenda zaidi mwanume mwenye guts za kuniambia marry it over hata asiponiambia sababu, at least hilo neno nilisikie kutoka kwake, huyu wa bishanga hafai hata kwa kulumangia, nini kumfanya mwenzie awaze kiasi hicho, si angesema tu naona hatuendani
 
hivi mtu kusema ana mtoto ni kitu cha kupongezwa au ni wajibu wake?

Hivi inakuwaje mtoto au kuwa mtaliki inakuwa siri?

Inategemea na mhusika...Wapo watu wasiojali na wanasema kwa uwazi kabisa (kama huyo Cindy), ila kuna watu wengine ambao hata kwa mtutu wa bunduki hawawezi kusema kuwa wana watoto!

Kuna mama ambaye ninamfahamu, kaolewa akiwa na watoto 2 ila mume wake kafichwa na hao watoto sasa hivi ni watu wazima!!

Babu DC!!
 
Ukisema they can't handle unamaana gani? Kuumia? Ofcourse ataumia coz alikupenda, maybe she will shed some tears, that's very normal lkn it will take less time kuumia kuliko kuondoka bila a word!

Kati ya hao, wangapi wamejiua? Hata wanaume, ukibreak nao; they will keep begging for some time hoping utachange mind! Si umeona mkaka aliyetoswa thru SMS kwa ajili ya distance.

Wanaume wengi are scared of women tears. Hivyo kutompa ukweli ni cowardness Yao na si for the sake of women's feelings!

Safi sana Kaunga naomba tu niseme tena kwa msisitizo The truth may hurt for a little while but a lie hurts forever!!!!!! mimi naomba kuambiwa ukweli mtupuuuu hata kama uliwahi kubaka au kufungwa jamani nitapokea kwa mikono miwili na :busu juu.
 
Last edited by a moderator:
Ina maana ndiyo unasikia hii story ya wanaume kuua watoto wa wake zao?

Halafu hilo kabila wanaamini kwamba njia rahisi ni kwa mwanamume kutumia uume wake kumuua mtoto.

Ni hivi...wanaamini kuwa endapo baba na mama wamemaliza kufanya tendo la ndoa, na baba akachukua ule uume wake na kumpiga nao mtoto kichwani basi huyo mtoto lazima atakufa papo hapo....Hii haijali kama mtoto ni wake au la...

Kwa hiyo, hao watu nasikia walikuwa wanatumia hiyo silaha!!

Mungu wanguuuu jamani sijawahi kusikia hii ni mpya kwangu itabidi nikaulize wazee haswaaa wanithibitishie hili yani nimtafute nyanya yangu anipatie jibu. Ni kabila gani hilo???ni vizuri ukatuelimisha.

Ni vizuri kama umejifunza kitu....

Naomba tu watu waelewe kwamba tunayasema haya si kwa ajili ya kuwaumiza dada zetu au watu wengine ambao wako kwenye hali hiyo ila kuweka wazi baadhi ya hidden facts ili zitusaidie huko tuendako!

Babu DC

Swala sio kuumizwa, tunapaswa kuyajua haya mambo ili tuzidi kujifunza siku hadi siku. Jana na leo nimejifunza haswaaaa
 
Safi sana Kaunga naomba tu niseme tena kwa msisitizo The truth may hurt for a little while but a lie hurts forever!!!!!! mimi naomba kuambiwa ukweli mtupuuuu hata kama uliwahi kubaka au kufungwa jamani nitapokea kwa mikono miwili na :busu juu.

Hiyo ni wish yako Yummy,

Ila nafsi ya mtu mwingine ni sawa na taifa huru...kama hana hizo guts itabaki hivyo hivyo!!

Kuna vitu ni vugumu sana jamani...ndiyo maana hata wanawake wengi hawawezi kuwaeleza waume zao kuwa hawaridhiki na tendo la ndoa....Kudeal na nafsi ya mtu mwingine ni jambo gumu sana. Na uamuzi wowote utakaouchukua ama utakuumiza wewe, yeye au nyote wawili (na wakati mwingine na watu wengine wasiohusika)!!

Babu DC!!
 
  • Thanks
Reactions: LD
"Hivi wanaume mnakerwa kuwa na mwanamke mwenye watoto/divorcee,kwa nini?". Jibu, sio wote bana ila baadhi yao na naamini ni hivyo hivyo pengine kwa wanawake. Mimi ni mwanaume na nasubiri kupata divorcee mwenye watoto!
 
=Yummy;3948312]Mungu wanguuuu jamani sijawahi kusikia hii ni mpya kwangu itabidi nikaulize wazee haswaaa wanithibitishie hili yani nimtafute nyanya yangu anipatie jibu. Ni kabila gani hilo???ni vizuri ukatuelimisha.

Hebu waulize ndugu Bishanga na Rutashubanyuma,

Naamini watakupa ushuhuda wao!

Swala sio kuumizwa, tunapaswa kuyajua haya mambo ili tuzidi kujifunza siku hadi siku. Jana na leo nimejifunza haswaaaa

Ahasate sana Yummy,

I wish watu wengi wangekuwa wanaichukulia mijadala positively kama wewe, basi tungeweza kuchota elimu na busara za kutosha kutoka kwenye hili jamvi,

Babu DC!!
 
"Hivi wanaume mnakerwa kuwa na mwanamke mwenye watoto/divorcee,kwa nini?". Jibu, sio wote bana ila baadhi yao na naamini ni hivyo hivyo pengine kwa wanawake. Mimi ni mwanaume na nasubiri kupata divorcee mwenye watoto!

Edo,

Binadamu wengi hatuwezi/hatupendi kufunguka kwenye public especially tunapoongelea mambo mazito ya kibinafsi au hisia zetu!

Hata ukiweka opinion pall hapa, watu wengi tutasema kwamba siyo sie tunaowanyanyapaa watu wenye matatizo au hali kama hii tunayoongelea!

Hiyo ndiyo nature ya binadamu,

Babu DC!!
 
Umeona ndugu Rutta,

Huyu Bishanga mchokozi sana...

Anajua fika, jinsi jamii (na especially huko kwao) inavyomchukulia mwanamke mwenye mtoto/watoto na pia ambavyo watu walivyo na uvumilivu mdogo (near zero tolerance) kwa mwanamume ambaye anaamua kumuoa mwanamke kama huyo.

Ninafahamu kuwa Wahaya wameenda mbali, na wana majina yanayotumiwa kuwaita wanawake wa namna hiyo (nasikia wanaitwa enyailya) na yanaonesha level ya juu kabisa ya unyanyapaa kwa mwanamke mwenye mtoto. Na sasa huyo Candy ana mzigo mwingine wa kuachika.....

No way, inabidi apate mwanamume mwenye mizigo pia..Vinginevyo, siwezi kumshauri kijana wa watu amvae mama kama huyo....

Samahani kama ninaandika mambo yanayokera wadau wengine ila kwa bahati mbaya mie naona kuwa hizo ni facts na si vinginevyo!

Babu DC!!
umekuwa so harsh kwa wenye watoto! do u mean they dont deserve another chance, a chance of being luvd hata kama na mtu ambaye ni kijana kabisa na hajawahi kuoa?? ukute cindy alidivorce kwa makosa ya mumewe, what did u expect her to do, asiwe na mtu just bcoz ana watoto?? mbona mumewe amedivorce na ukute ana binti mdogo wa 18 yrs(lulu) n life goes on!
 
Nisamehe sana ndugu yangu kama nimekuwa harsh kiasi hicho,

Ila nimeongelea yale ambayo mie nisingependa kumfanyia mtu wala kufanyiwa.

Kuna kosa hapo?

Babu DC!!
 
Bishanga,

Hatuongelei suala na kudeserve au la, tunaongelea suala la kuwa na mwenza amabaye yuko tayari kumbema mtalaka na mizigo yake yote...Mara nyingi watu wanakuja na ajenda zao na mtu kama huyo dada anatumiwa kwama daraja tu!!

Babu DC!!
nimeipenda hii!
 
Edo,

Binadamu wengi hatuwezi/hatupendi kufunguka kwenye public especially tunapoongelea mambo mazito ya kibinafsi au hisia zetu!

Hata ukiweka opinion pall hapa, watu wengi tutasema kwamba siyo sie tunaowanyanyapaa watu wenye matatizo au hali kama hii tunayoongelea!

Hiyo ndiyo nature ya binadamu,

Babu DC!!
Babu DC, nakubaliana nawe , lakini si vibaya kuanza hatua mmoja- mbona Uganda wameanza TV show ya mtu kutanganza anayemtaka
 
Back
Top Bottom