Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
ha ha ha ha kiruuuuu umenikumbusha pale kwenye migombaManka wangu nakupenda,
Hakyamungu nakupenda,
Yesu na maria nakupenda,
Yani ninavyokupenda niko tayari kwenda kuiba dukani kwa urassa nikupe chochote unachotaka.
Wako Mangi.
Nkua busy kidogo, nambieWhere were you?
ukimaliza uje na huku nimevurugwa 😀Kwani Evelyn Salt ni nani lakini?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]ukimaliza uje na huku nimevurugwa 😀
Acha tu nimtundu balaaInaonekana bakora anazokuchapa sio za nchi hii
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Acha tu nimtundu balaa
Baby unaenda wapi[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Utanikuta chumbani my loveBaby unaenda wapi
hapo sawa jiandae basi kabisaUtanikuta chumbani my love
Nakusubiri kipenzi changu, nimemiss sana......hapo sawa jiandae basi kabisa
Mmh unawaamsha wadudu sasa honey,vumilia nifikeNakusubiri kipenzi changu, nimemiss sana......
Watu weweeeee.... Shairi tamu hadi jogoo anawikaMoyo wangu, moyo wangu unauadhibu,
Basi fanya japo taratibu!
Niondolee madhila yaliyozidia hesabu,
Utaniuwa mwana wa mwenzio!
Taratibu, twende taratibu basi taratibu,
Nitese tu kidogo ukipata sababu!
Ukizidisha moyo wangu wauharibu,
Ukizidisha utaniuwa mwenzio!
Nimeona shairi la akupendaye umechelewa kumjibuNkua busy kidogo, nambie
Sasa nipo hapa Kiev Ukraine... Ninaangalia uefa champions league final... Unaifahamu?Nkua busy kidogo, nambie
vanilla mtoto mrembo, moyoni ulishazama,
Leo nikwambie jambo, nimekupenda mazima,
sifuati mkumbo, huu uzi nimeusoma
Niwewe nikupendaye, na si avatar yako.
Utanikuta chumbani my love
Mkuu si mpenzi wangu lkn ni wa jamaa fulani!,hivyo nimerusha jiwe gizani![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu hebu mtaje.
Ukikaa naye kula si vinachacha kabla ya kula sasa
Khaaaaaaaaa, mbona unatoa siri za chabo sasa...mmesahau kufunga mlango