BioPsychologist
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 724
- 1,018
Hahahah serious?Kwa sababu umepnda wazi wazi, basi na sisi tunamuweza apate kuona.
Udunda wanawake wazi wazi ,halafu unategemea kuna watu hawakuona.
Nataka umwagwe wazi wazi, ili ujue kuwa mwanamke ni ua na si ngoma.
Kiona kiza ndotoni, mwenzangu usiumie,Amini amini nimekuimbia wewe!
Muache ajichanganye, nitarara naye mbereKwan naww Rutabanzibwa[emoji23][emoji23][emoji23]
Mshana anatumia hirizi siyo sirihalihitaji hirizi,wala usijisumbuwe
watakupiga fitizi,wataka wakuganguwe
hao wote ni walozi,nimekupenda mwenyewe
pendo langu mimi nawe halihitaji hirizi
halihitaji hirizi,nimekupenda mwenyewe
sitaki masimulizi,,juu yako niambiwe
kwa hila za kibazazi,kwangu zitangonga jiwe
pendo langu mimi nawe halihitaji hirizi
halihitaji hirizi,tulia kwangu utuwe
tuama nita kuenzi,kama baba na mwanawe
moyo umekufa ganzi,stamani penginewe
pendo langu mimi nawe halihitaji hirizi
halihitaji hirizi,nikoseapo upowe
nijapo itaka razi,msamaha usikawe
niaminini laazizi,furaha yangu ni wewe
pendo langu mimi nawe halihitaji hirizi
halihitaji hirizi,kikubwa ni thaminiwe
kwako niwe mwenye hazi,mfano wangu pasiwe
kwenye wako usingizi,sura yangu ndio iwe
pendo langu mimi nawe halihitaji hirizi.
Kwako nimekufa nimeoza usinitese tafadhali Mshana Jr
Hahahaha aiseeeemakonda kitu gani? dawa feki kwa vidonda
Kila Siku ubungo maji anafanya kazi kama punda,
Demiss mtoto laini haitaji zako fujo chokochoko na dhoruba,
Usiku ukiingia atalala mororo kwenye lake tumba..
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji53]
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji23]Muache ajichanganye, nitarara naye mbere
Wengi walikuja kwa gia kama zake, lakini hawakurudi na meno ya Mbere....
Ahahahah let's waitHaha.. And the battle begins
Kiona kiza ndotoni, mwenzangu usiumie,Ebanaeeeeeeee
Aiseee ngoja niweke kambi hapaKwa sababu umependa wazi wazi, basi na sisi tunamuweka apate kuona.
Kudunda wanawake wazi wazi ,halafu unategemea kuna watu hawakuona.
Nataka umwagwe wazi wazi, ili ujue kuwa mwanamke ni ua na si ngoma.
Balaaaaaaa
Mmoja tuKesi gani? Au una mabebe wengi hapa jamvini?
UnachocheaYeye atakutoa ya rohoni [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-N910T using JamiiForums mobile app
HihiiiiiiiHahahah serious?
Mm sio mgeni kwake! Yeye ndo atatoa majibu mkuu!
KabisaaaaaMapya haya
Ambaye ni psych counselor?Mmoja tu
Kwanini?Mshana anatumia hirizi siyo siri
Mbona sijaweka kuni mwenza [emoji23][emoji23][emoji23]Unachochea
Ni mzee wa tunguli yule. Alishasema yeye anapenda uchawiKwanini?