Mjina Mrefu
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 3,045
- 3,389
- Thread starter
- #361
HahaManka wangu nakupenda,
Hakyamungu nakupenda,
Yesu na maria nakupenda,
Yani ninavyokupenda niko tayari kwenda kuiba dukani kwa urassa nikupe chochote unachotaka.
Wako Mangi.
Just
Haha