MTV Mama Awards 2016: Watanzania waambulia patupu, Nigeria na South Africa wang'ara

ila leo kitu nilichokuja kugundua kwenye hizi tuzo ni kuwa panapo DAVIDO, WIZKID hapindui...ukiangalia kwa undani utagundua kuwa wizkid kaipata hii tuzo kwa sababu davido kiboko yake hayupo kwenye nomination this year, laiti davido angekuwa nominated angeisikia kwenye mike tu hii tuzo...amshukuru sana davido na Sony kumuwachia gap msimu huu...
 
Hafu timu yake ikifocus kumtukana Kiba, Mara wema timu zari wakawa wanahangaika na mama diamond na ESMA kumshambulia wakasahau kupiga kura
yaani diamond alikuwa na watu wachache sana wa kumpigia kura maana tanzania ametengeneza magroup kibao
team wema
team kiba
team hamisa
uganda kaharibu kamtukana ivan
kenya zari kawatukania huda wao plus wanampenda kiba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…