Habibu B. Anga
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 6,557
- 25,717
Mbona mnaongea sana! Acheni uchawi.. Bado category 3..
Tanzania itang'ara leo lazima! Amen
Tanzania itang'ara leo lazima! Amen
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kachukua tuzo auHalafu nimegundua kitu..Alikiba ameimba vizuri live kuliko Diamond...Diamond ametia aibu kabisa..Ame-concetrate na kucheza.....Sauti mbayaaa...Diction hamna..
Big up Alikiba...Umelitangaza Taifa
Thanx sister D kwa kuelewaInabidi aongeze mazoezi sauti ilikua chini though the performance was good
wewe mama Mungu anakuona birthday ya zari mond alimfanyia nini ivan?Jamani muache kutunga uongo, umeona lini wakigombana?
Imefanyaje Avatar yangu na wewe?![emoji48]Chunga thana na avatar yako kubaki tu shigda.
Sauti mbaya sijapata kuona...Inabidi aongeze mazoezi sauti ilikua chini though the performance was good
The bold nataka utupe formula ya kwenda kuiba ile tuzo,Mbona mnaongea sana! Acheni uchawi.. Bado category 3..
Tanzania itang'ara leo lazima! Amen
Wivu Gan...??tulisema huku mkuu tukaambiwa tunamuonea zari wivu
Na alivumilia kwa kweli bora kachukuaSio ana bahati, wzkid yuko na talent
Sasa kwa ushabiki huu tutakua kitu kimoja kweli kwa wasanii wetu linapokuja suala la votingLeo simba dume kawa jike
[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Papirrrrrrr yooooo
yaani diamond alikuwa na watu wachache sana wa kumpigia kura maana tanzania ametengeneza magroup kibaoHafu timu yake ikifocus kumtukana Kiba, Mara wema timu zari wakawa wanahangaika na mama diamond na ESMA kumshambulia wakasahau kupiga kura
Diamond ndo kaimba live for the first time uzoefu hajawa nao sana next time a dance kwa kiasi ili pumzi isikateHalafu nimegundua kitu..Alikiba ameimba vizuri live kuliko Diamond...Diamond ametia aibu kabisa..Ame-concetrate na kucheza.....Sauti mbayaaa...Diction hamna..
Big up Alikiba...Umelitangaza Taifa