cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 27,885
- 76,043
Inaonekana Hufatulik Mambo ya social
Mkuu umefanya nicheke kwa sauti ,et style mpyaKwahiyo alikua anacheza kwa kutetemeka labda ndio style mpya
Diamond kilichomuumiza kukosa tuzo siunajua msanii wa tuzo hvo kaharibu sanaHalafu nimegundua kitu..Alikiba ameimba vizuri live kuliko Diamond...Diamond ametia aibu kabisa..Ame-concetrate na kucheza.....Sauti mbayaaa...Diction hamna..
Big up Alikiba...Umelitangaza Taifa
Hahahahahah! Kuna mtu kule yupo nimempa formula nzuri tu sijui nini kinamshinda..The bold nataka utupe formula ya kwenda kuiba ile tuzo,
haiwezekani turudi mikono mitupu...
Tusaidie aisee
Anhahahahahahahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]kinacho niuma zaid ni kwamba baada ya tuzo hiz Diamond ata lala kwake ila alikiba ata lala guest
#matabaka_sipendi
basi davido co mpinzani kabisa..ila leo kitu nilichokuja kugundua kwenye hizi tuzo ni kuwa panapo DAVIDO, WIZKID hapindui...ukiangalia kwa undani utagundua kuwa wizkid kaipata hii tuzo kwa sababu davido kiboko yake hayupo kwenye nomination this year, laiti davido angekuwa nominated angeisikia kwenye mike tu hii tuzo...amshukuru sana davido na Sony kumuwachia gap msimu huu...
Ila kweli na ile cheza yao yakutumia nguvu na ukiwaza umeishakosa tuzo ila tumuombee next time atafanya poaSio.kaz nyepesi kujua pengine ulikua una tuzo unategemea halaf imekosekana
Huhuhuh!! Noma sanaMkuu The bold Hakikisha ile tuzo tunaiiba kwa njia yoyote ile...
Na hili ndo litakuwa tukio la kuwafunika akina D.B Cooper
Ingetakiwa ajiandae kiakili kwenye mashindano kuna mawili, kushinda na kushindwa, mi nilivoona ataimba live nilikua na wasiwasi kweli na performance yake hafu he was like sadDiamond kilichomuumiza kukosa tuzo siunajua msanii wa tuzo hvo kaharibu sana
Nuksi za kiba ndo maan we unadhan plat kpanda stage moja na kiba ni mkos tosha kwakeIvan sio wa kuchezea labda mond aombe msamaha kwa ivan bila hivyo tuzo atazisikia tu.
Mbona Ali kiba ameweza...Sikuamini kama Ali Kiba ndo kaimba live vile..
Kwa kifupi Ali Kiba kamfunika Diamond....
Big up Ali Kiba..