MTV Mama Awards 2016: Watanzania waambulia patupu, Nigeria na South Africa wang'ara

Kipindi kile timu yak ilikua active tofauti na zama za kipindi kile team zikiwa active. Sijui lowasa toka lini alikua na timu za kisanii?
 
mbavu zangu😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Alikiba kaimba live?
 
Bado category moja ya mtz kubeba
 
Hongereni kwa nomination there is always next time msife moyo watz
 
Oyaaaaaaa!! Kama watu hamuelewi kinachoendelea pigeni kimya.. Mnaanza kuandika barua za maombolezo sijui tanzania tumeambulia patupu sijui nini nini..

Bado category mbili!
Leo lazima tung'are aisee..
 
Oyaaaaaaa!! Kama watu hamuelewi kinachoendelea pigeni kimya.. Mnaanza kuandika barua za maombolezo sijui tanzania tumeambulia patupu sijui nini nini..

Bado category mbili!
Leo lazima tung'are aisee..
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] safari hii tumekamatwa vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…