valuablecock
JF-Expert Member
- Mar 28, 2013
- 783
- 802
Kiba anahitaji washauri wa mavazidiamond anachosha na style yake iliyozeeka....Kiba naye costume hazikuwa poa..anyway tujifunze kwa nigeria guys
Wamesalute au weponda ""hell perfomance" wake ya ass up niggaWabongo bwana mngekuwa mnangaliaga KORA awards miaka ya nyuma (show ya werrason, felix wazekwa au academic, extra musica hawa wote hawakuwa na time ya kuimba miuno tu kwenda mbele) ungeelewa kwa nn diamond kwa nn kafanya vile na ndio maana BET Africa wamesalute to him
[emoji40] [emoji40] watu Leo mbona hasira nyingi ?Mkuu, tumekusikia, tumekuelewa.. Man fongo ana sauti nzuri kuliko mondi!
Kama hauna update kuhusu tuzo nyingine imeenda kwa nani just chill..
Mkuu umemaanisha kufurahi enheeNo way out ila inauma mbongo kutofulai mafanikio ya mwenzako
Eti kufulai ashindwe so sad ukisikia uchawi ndo huo
Taratibu BuanaJapokuwa Ali Kiba hajapata Tuzo ila ameimba vizuri...Ametendea haki mashabiki...
Daimond alikuwa anatetemeka kama ana schizophrenia ya mdomo..Play back ya CD ipo mbele yeye na sauti ya mitetemeko yupo nyuma....Aliniudhi sana...
Ameng'ang'ana na kucheza....Sikuelewa Diamond ni yupi na Dancers ni wapi...Ni vurugu tupu.....
MTV awards japokuwa wasanii wetu hawajashinda ila Ali Kiba kafunika...
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Jamani naomba mchango mwenzenu mshahara umekatwa sn mwezi huu na madeni yamezidi hapa nilipo nasubir mida ya saa nanenane ndo bikaingia gheto jamani hali c shwari msaada wanajamvi!
Af Mendez mwambien sio vzurView attachment 422621
kuna mtu alijaribu tena kuchezea microphone ya ali kiba [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Asaiv davido hana ngoma yakumtetemesha wizkidila leo kitu nilichokuja kugundua kwenye hizi tuzo ni kuwa panapo DAVIDO, WIZKID hapindui...ukiangalia kwa undani utagundua kuwa wizkid kaipata hii tuzo kwa sababu davido kiboko yake hayupo kwenye nomination this year, laiti davido angekuwa nominated angeisikia kwenye mike tu hii tuzo...amshukuru sana davido na Sony kumuwachia gap msimu huu...
Ni hivi..Angechagua moja..Aacha play back ya CD iendelee kuimba na yeye aendelee kusakata rumba...Ingekuwa powa zaidiWabongo bwana mngekuwa mnangaliaga KORA awards miaka ya nyuma (show ya werrason, felix wazekwa au academic, extra musica hawa wote hawakuwa na time ya kuimba miuno tu kwenda mbele) ungeelewa kwa nn diamond kwa nn kafanya vile na ndio maana BET Africa wamesalute to him