Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,271
Azam na clouds wali sema wataonyesha nadhani na African Magic wataonyeshaTAFTA KIFURUSHI CHA UNLIMITED TIGO 1500 VODA 2000 HALOTEL 1000 TU UNAENJOY MWANZO MWISHO
Sawa bhana! Ila aisee wampe tu Simba hiyo Artist of the year.. Maana huu mwaka wa Tatu anakuwa nominated in a roll.. 2014, 2015 & 2016.Tupo hapa utaniambia bongo haiji hata 1
Mda huu?NENDENI FACEBOOK PAGE YA MTV BASE AFRICA MKATAZAME LIVE
Duh kama clouds wataonyesha itakua poa sanaAzam na clouds wali sema wataonyesha nadhani na African Magic wataonyesha
Itakuwa ajasoma kakurupuka ndio ttz la cc wabongo hatusomagi hbr yoteeUmesoma habari yote hapo juu?
jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huyu kaka yawezekana anavuta bangiView attachment 422536
Ali kiba bwana ...na kiti.chake cha ufalme hahaah....rehersal yake hio sjui ndo ataingia kwa staili hiyo.....
link please
artist of the year au best male wampe anajitahidi sanaSawa bhana! Ila aisee wampe tu Simba hiyo Artist of the year.. Maana huu mwaka wa Tatu anakuwa nominated in a roll.. 2014, 2015 & 2016.
itakuwa ni saa ngapi wadau?
[emoji23][emoji23][emoji3]jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huyu kaka yawezekana anavuta bangi
WE PEKUA PEKUA KWENYE KING'AMUZI CHAKO HUENDA UTAONA MIE NIKO NA LIVE STREAMINGAzam na clouds wali sema wataonyesha nadhani na African Magic wataonyesha
Supersport three.... Umelipia Mkuu?Dstv wanaonesha kwenye channel ipi?
KifuaaKila la heri watz wote najua wote mtarudi kifua mbele
USIULIZE MASWALI WAKATI MAJIBU UNAYAONA MNACHOSHA WATUMda huu?
Kwani ukijibu unapungukiwa nn??? Acha kulingaUSIULIZE MASWALI WAKATI MAJIBU UNAYAONA MNACHOSHA WATU
Na wizkid atachukua ipi sasaSawa bhana! Ila aisee wampe tu Simba hiyo Artist of the year.. Maana huu mwaka wa Tatu anakuwa nominated in a roll.. 2014, 2015 & 2016.
Kwani ukijibu unapungukiwa nn??? Acha kulinga
Tuma linkWE PEKUA PEKUA KWENYE KING'AMUZI CHAKO HUENDA UTAONA MIE NIKO NA LIVE STREAMING