FisadiKuu
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 8,169
- 13,455
Wanarudi na chochote au wanarudi na karai?Pamoja na nominations zote hizo na performance hujaona cha kusifia hata kimoja mkuu?? Ina maana wasanii wa tz wanafanya sifuri?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanarudi na chochote au wanarudi na karai?Pamoja na nominations zote hizo na performance hujaona cha kusifia hata kimoja mkuu?? Ina maana wasanii wa tz wanafanya sifuri?
Yeah,ndo huyo.kiba ana 30 plus,wizkid ana 20 plusIvi wizkid ndohuyu kiba alisema nimkubwa kuliko yy?
utakua mshirikina wwKinachoniuma zaid ni kwamba baada ya tuzo hizi diamond ata lala kwake ila ali kiba atalala guest house...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
WABONGO
Niliwahi kupost ni namna gani matusi ya kwenye mitandao ya mama ndomo yatashusha mashabiki nikiwamo mimi niliejitoa kumshabikia siku nyingiwizkid kapigiwa kura nyingi tu huku bongo.unajua hilo lakini?
Unajuaje ni ya kwake au amechukua ya yule Mbunge ambaye kiba anaishi kwake kule Mombasa?Suti ya king kiba oversize
Huyu mpaka leo wanasayansi na madaktari wameshindwa kutambua jinsia yake.Mbona yuko ka mwanaume
Unamwacha wapi Shishi baby?East Africa kutoa best female bado sana tukubaliane na ukweli, juhudi za Yemi Alade mwaka huu kila mtu kaziona acha achukue tu.
wanarudi na pesa za kufanya performance ya kimataifaWanarudi na chochote au wanarudi na karai?
Ndo huyo huyo, sallam alisema walkmuws nae Mwanza, safari hii fundi mitambo sallam, kazima mic ya diamond badala kuzima ya WizkidIvi wizkid ndohuyu kiba alisema nimkubwa kuliko yy?
Ndio, hawajamzimia mic,ya diamond ndio ilizima akabaki anadance tuuallikiba leo hawajamzmia mic???
Mhhhh!!! Ingekuwa Haina haja hakungekuwa na kipengele cha live performance kwenye hizi tuzo, lazima mtu Uwe na Uwezo wa kuimba live bhana, siyo unaimba kwa kukoroma na kuhemahemaPale ni jukwaani! They are neither singing nor dancing. It is all about perfoming
Wallah hujadanganya, ni kweliTuwekeni ushabiki pembeni ila kiukweli diamond alikuwa kama anatetemeka flani halafu mda mwingi kacheza na si kuimba