MTV Music Awards June 6th, 2014

MTV Music Awards June 6th, 2014

Hahaha weee jamaa vipi nyie na wao nani anaiga mziki wa mwingine kama sio nyie wabongo ndio mnaoiga mziki wao mkiulizwa mnasema Et mziki wa biashara wabongo bongolala!

Umeona show aliyopiga lakini?
 
Diamond hata kama amekosa tuzo lakini kitendo cha kuwa nominee tu ni credit kwake so keep it up Diamond

black rhino,lady jay de,professor jay,ay na mwana fa pia waliwai kua nomenee pia so sio utetezi kama mfupi mfupi urefu hauletwi na viatu
 
show bado haijaanza ila ni maandalizi ya mwisho mwisho ,diamond kufungua dimba on stage....

Kumbe huu ugonjwa haupo TZ tu, yaani nashangaa hakuna link ya ku Livestream hata bondeni SA??Mbona KTM walijitahidi tuliona Kili ilivyoeenda
 
Pole mkuu najua utakua umesawijika sana but ndo maisha....

Tukijipanga next time itakua poa tu
Mkuu nilikuwa najaribu kuonyesha namna wabongo tusivyotakiana heri....uyo davido kapotezwa vibaya stejini na diamond na naweza sema show ya diamond ndio best hadi sasa hapa south....
 
wabongo ushamba na shobo ndio zinazowasumbua.....ila ao wanaijeria mnaowapaisha hawana lolote jipya kututisha wana mzk wa kawaida sana,,sikilizeni muziki vizuri

Matumbo kimziki hatuwezi shindana na wanaija wametuacha mbali sana kaka ebu tuanze na mr flavor sawasawa sawaleee? 10 over 10,all my friends they call me number 10 coz I play like .....!! You are my african queen a girl of my dream you make me flow lyk a bottle upon nile....bado hatujapiga oliver twist where is dibhanji? Kaka tukubali hatuwawezi ma-popo.
 
Wanaija muziki wao wa kawaida sana trust me bro,promotion ndio kila kitu jamaa wanapromoti sana mzk wao alfu kwenye tuzo za kupigiana kura kama hizi huwezi kuwaangusha coz population yao pia ni kubwa...

bro tatizo wabongo tunaiga fleva za hawa jamaa na ndio maana wanatugaraza kaka inabidi ifike muda tujivunie cha kwetu kaka na ukumbuke wanaigeria ni watu wanaopenda mziki wao sana so tusizingizie populution yao mkuu!!!!!
 
±

±
Ndomo kapagawa kijiji alichokichukua kwenda nacho south alafu anarudi kapa lazima moja haisomi wala mbili.


Walikua wanaomba support foreign affairs wakati balozi zenyewe tu hali mbaya kifedha
 
Duh mbwembwe zote zile?

Wameingia vizur ,mbwe mbwe kibao ila kwenye perfom ndomo kachemsha ilikuwa kawaida sana, davido kambeba maana angekuwa mwenyew angeboronga zaidi , ila ame experienc kitu
 
bro tatizo wabongo tunaiga fleva za hawa jamaa na ndio maana wanatugaraza kaka inabidi ifike muda tujivunie cha kwetu kaka na ukumbuke wanaigeria ni watu wanaopenda mziki wao sana so tusizingizie populution yao mkuu!!!!!

Hapo ndio point ilipo.....awa jamaa wanawapa sapot sana wanamuziki wao ila sio kwamba wanamuziki wa ajabu yani ilo sikubali kabisa....
 
Kumbe Clouds walikua wana tuingiza chaka! Yale ma hope na zile hesabu za Likes za Insta, uso wa kitabu yameishia wapi?! Ila kazi nzuri kijana wangu Daimondi, next year lazima urudi na mzigo. We wekeza kwenye kolabo na hao hao wa nijelia!! Ikibidi piga na marafiki wa zolo kabisa hukohuko sauzi.

Jana tuliambiwa Mafikizolo walienda kuomba collabo na domond aisee hizi propaganda hzi ni shiiidaaaa.
 
Mkuu nilikuwa najaribu kuonyesha namna wabongo tusivyotakiana heri....uyo davido kapotezwa vibaya stejini na diamond na naweza sema show ya diamond ndio best hadi sasa hapa south....


Kwa tuliozoea discriminations hilo halitupi shida wanaostahili hawastahili na wasiostahili wanastahili...

That is life cha kushukuru maisha yanaendelea....

Ila mshauri h.o.d abadili aina ya publicity inamfanya domo aonekane ni mtu wa ligi za mchangani kwa maneno yake ya shombo
 
Bendera ya tz kimataifa itapeperushwa na injili kutoka tz wala sio muziki, au mpira au chochote kile tofauti na injili
Note hcho
 
davido
1.papi churo(baba lowo)
2 skelewu
3 aye


diamond
1 kamwambie

2 mbagala

3moyo wangu

4
number one at least ya mwisho ndio level ya davido



davido kastahili toafuti ya hapa ni kwamba nyimbo za davido zinachezwa africa na dunia nzima na watu wwanazielewa lakini diamond ni mombasa zanzibar rwanda kongo na nk
 
acheni unafiki tumechoka na hizo kauli tunataka mkienda na kijiji cha watu mrudi na tuzo sio perfume za sa!!!

Kwenye mashindano yeyote lazima apatikane mshindi mmoja tu,sasa unafiki unatoka wapi hapo?
Acha chuki ndugu haikusaidii kitu,kuwa nominee tu ni sifa kwake Diamond
 
Wameingia vizur ,mbwe mbwe kibao ila kwenye perfom ndomo kachemsha ilikuwa kawaida sana, davido kambeba maana angekuwa mwenyew angeboronga zaidi , ila ame experienc kitu

Maana HOD kasema ndomo alikua balaa mpaka akina mafikizolo wamejisikia fahari kukutana nae eti wamedata kwake yaani nimecheka na kushangaa
 
Back
Top Bottom