matumbo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 7,224
- 3,951
Hahaha weee jamaa vipi nyie na wao nani anaiga mziki wa mwingine kama sio nyie wabongo ndio mnaoiga mziki wao mkiulizwa mnasema Et mziki wa biashara wabongo bongolala!
Umeona show aliyopiga lakini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha weee jamaa vipi nyie na wao nani anaiga mziki wa mwingine kama sio nyie wabongo ndio mnaoiga mziki wao mkiulizwa mnasema Et mziki wa biashara wabongo bongolala!
Diamond hata kama amekosa tuzo lakini kitendo cha kuwa nominee tu ni credit kwake so keep it up Diamond
YAn kawaida sana maskin, ila kajitahid kaosha aiseeh maana c mchezo
±ndo ndomo anapafomu apa mmh, kawaida sana kwa kwel, cjui uoga
show bado haijaanza ila ni maandalizi ya mwisho mwisho ,diamond kufungua dimba on stage....
Mkuu nilikuwa najaribu kuonyesha namna wabongo tusivyotakiana heri....uyo davido kapotezwa vibaya stejini na diamond na naweza sema show ya diamond ndio best hadi sasa hapa south....Pole mkuu najua utakua umesawijika sana but ndo maisha....
Tukijipanga next time itakua poa tu
Weka streaming link ili wabeba box nao waweze ona.
wabongo ushamba na shobo ndio zinazowasumbua.....ila ao wanaijeria mnaowapaisha hawana lolote jipya kututisha wana mzk wa kawaida sana,,sikilizeni muziki vizuri
Wanaija muziki wao wa kawaida sana trust me bro,promotion ndio kila kitu jamaa wanapromoti sana mzk wao alfu kwenye tuzo za kupigiana kura kama hizi huwezi kuwaangusha coz population yao pia ni kubwa...
YAn kawaida sana maskin, ila kajitahid kaosha aiseeh maana c mchezo
Tumpigie kura kwa wingi Diamond ili aibuke na ushindi katika MTV Music Awards itakatofanyika Kwazulu-NATAL
Bofya hapa chini:
2014 MTV Africa Music Awards Kwazulu-Natal | Vote
±
±
Ndomo kapagawa kijiji alichokichukua kwenda nacho south alafu anarudi kapa lazima moja haisomi wala mbili.
Duh mbwembwe zote zile?
bro tatizo wabongo tunaiga fleva za hawa jamaa na ndio maana wanatugaraza kaka inabidi ifike muda tujivunie cha kwetu kaka na ukumbuke wanaigeria ni watu wanaopenda mziki wao sana so tusizingizie populution yao mkuu!!!!!
Kumbe Clouds walikua wana tuingiza chaka! Yale ma hope na zile hesabu za Likes za Insta, uso wa kitabu yameishia wapi?! Ila kazi nzuri kijana wangu Daimondi, next year lazima urudi na mzigo. We wekeza kwenye kolabo na hao hao wa nijelia!! Ikibidi piga na marafiki wa zolo kabisa hukohuko sauzi.
Mkuu nilikuwa najaribu kuonyesha namna wabongo tusivyotakiana heri....uyo davido kapotezwa vibaya stejini na diamond na naweza sema show ya diamond ndio best hadi sasa hapa south....
Kwahiyo zote mbili kaangukia pua? Ila south kuna visu(watoto) wakareeee!
acheni unafiki tumechoka na hizo kauli tunataka mkienda na kijiji cha watu mrudi na tuzo sio perfume za sa!!!
Wameingia vizur ,mbwe mbwe kibao ila kwenye perfom ndomo kachemsha ilikuwa kawaida sana, davido kambeba maana angekuwa mwenyew angeboronga zaidi , ila ame experienc kitu