Mtwara: Jinsi Askari Polisi akiwemo Mkuu wa Kituo na Upelelezi walivyoshiriki Mauaji ya Mfanyabiashara wa Madini

Alijinyonga akiwa selo.
Kwa nature ya tukio hili, huyu lazima atakuwa alinyongwa kwa kuwa alikuwa anazo taarifa zote muhimu kuhusu tukio hili, kifo chake ilikuwa ni Clean-up Mission ili kuficha ukweli wa tukio hili.
Tambua tu kwamba matukio ya namna hii yapo mengi sana hapa nchii, haya yanayofichuka hadharani ni machache sana..
 
Polisi tizii wakijuwa una hela watafanya lolote wakutemeshe
Hata yule jamaa hmza chanzo ni hiyo hiyo dhlma aliyofanyiwa sema kwa sababu hatua aliyochukua yeye ilijuwa kali sana akageuziwa kibao

Ova
Mkuu sio pesa tu hata mavazi,nishaona pale taifa askari wanaovaa kiraia akiwa juu ya defender akimpora kofia jamaa,jamaa kushtuka yule polisi akiwa juu ya defender anajifanya kumuuliza kofia nzuri kama hizi uwa mnazitolea wapi nyinyi wakati ile defender ikitembea mdogo mdogo,jamaa akaishia kuangalia kofia yake ikiondoka,nikajiuliza askari kama wale ndio wanakukuta na pesa nyingi si wanakuua kabisa!
 
Dhulma mbaya sana na malipo ni hapa hapa duniani.

Huu mkasa unaleta hasira sana kwa ndugu na jamaa wa marehemu.
Watu wenye dhamana ya kulinda mali na usalama wa raia wanafikia uamuzi kama huu hii ni hatari sana kwa mustakabali wa amani na imani kwa wananchi.
 
Polisi wa Tanzania ni "Authorised Robbers, bandits"
Ukikutana au kuingia vituo vya polisi,tofauti na kukutana na kundi la majambazi au vibaka, ni kwamba, vibaka wanaogopa kukamatwa, lakini vibaka polisi, hawa ni majambazi, yenye haki ya kubeba siraha, kuua with impunity.
Nawaombea hawa wapate adhabu ya maisha, wafilisiwe, wake zao, na binti zao, waolewe na njemba moja,
 
Aisee majambazi ndani ya polisi. Alafu sheria ya kunyongwa ifutwe napinga kabisa
Hapa tatizo ni kwamba polisi wanajichunguza wenyewe, mwisho wa siku watajiachia huru
Kumbuka RPC Rukwa Zombe aliyewahi pia kuwa mkuu wa upelelezi Dar waliua wafanyabiashara 3 na taxi driver wakawapora pesa na madini.
Tume ya jaji ikaleta ushahidi usio na shaka lakini polisi wakamtorosha mwenzao na mmoja alikufa mahabusu. Kesi ikaishia hapo.
 
Mkuu nimeogopa,nini kifanyike ili kuwaondolea mamlaka hawa jambazi wenye unifomu?😭😭😭
 
Dk kwenye mipango akikwepo na ndo akiyetoa mbinu ya kuua,kumbuka hata sindano ya kumwua alitoa yeye
Ukisoma vizuri maelezo ya Dr, hakuwa anajua kuwa mtuhumiwa ni nani, na askari wana mpango gani nae, wameingia ndani yeye alichokuwa anajua ni kwenda kumchoma sindano ya usingizi na sio kuua, iyo inamuondoa hatiani
 
Ukisoma vizuri maelezo ya Dr, hakuwa anajua kuwa mtuhumiwa ni nani, na askari wana mpango gani nae, wameingia ndani yeye alichokuwa anajua ni kwenda kumchoma sindano ya usingizi na sio kuua, iyo inamuondoa hatiani
Yeye kama Daktari unaambiwa mchome mtu Sindano ya usingizi alafu unamchoma tu.Daktari anayo kesi kubwa ya kujibu pia.
 
sio GPO,ni PGO(Police General Order)

Shukrani kwa kuweka usahihi wa kijitabu hiki muhimu.

PGO (Police General Order) kinatakiwa hata wajumbe wa nyumba kumi / balozi wa mtaa / ofisi ya serikali ya mtaa wawe na PGO mezani pamoja na ilani ya CCM !

Ili raia katika maeneo yao akikamatwa, mjumbe akiwa shahidi na mlinzi wa amani wachungulie, je taratibu zinafuatwa pia kwa wale wanaoenda kituo cha polisi kwa hiyari pia walindwe na kusikilizwa matatizo yao kwa utaratibu wa PGO
 
Hata mdogo wangu alikuwa anataka kuwa askari mama alikataa.
 
Duuh siyo Fair
 
Kuna siku niliibiwa wallet k'koo,kulikua na baadhi ya vitambulisho kuvipata kwake lazima nipate ripoti ya polisi,si ndio nikatimba pale msimbazi polisi,vioja nilivyofanyiwa pale ikiwa mimi ndio niliobiwa sitosahau!nikatishiwa hadi kuwekwa ndani kwa kosa ambalo hata silijui!😃
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…