John Wickzer Mulholland
JF-Expert Member
- Apr 13, 2023
- 6,656
- 14,403
Kwa nature ya tukio hili, huyu lazima atakuwa alinyongwa kwa kuwa alikuwa anazo taarifa zote muhimu kuhusu tukio hili, kifo chake ilikuwa ni Clean-up Mission ili kuficha ukweli wa tukio hili.Alijinyonga akiwa selo.
Tambua tu kwamba matukio ya namna hii yapo mengi sana hapa nchii, haya yanayofichuka hadharani ni machache sana..