Mtwara: Kamati ya Uchunguzi matukio ya mauaji yadai kubaini Polisi walimpora fedha mfanyabiashara wa madini

BigTall

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2022
Posts
525
Reaction score
1,257
Ripoti imeshathibitisha kuwa wanahatia ila cha ajabu mahakama nayo inakuja kuthibitisha ukweli usiokuwa na shaka yoyote.
Kwa wenzetu wachina wakiunda tume ikaja na ripoti hakuna kupoteza muda mahakamani. Hukumu inaanza kutekelezwa mara moja
 
Hii taarifa ni feki nasubili ya kamanda silo ndio nitakayo amini😵
nasubili=nasubiri
Silo=Sirro

Unaishi wapi mkuu Sirro mwenyewe Ni mtuhumiwa atajichunguzaje? Yaani polisi wafanye uhalifu halafu wajichunguze wenyewe?

Hili raisi alilisema na ndiyo akaagiza Waziri Mkuu kuunda tume maalumu kuchunguza.Sirro mwenyewe nae anasubiri km wewe.
 
Kwa kauli hii, wahukumiwe tu. Hakuna kesi tena ishahidi umeshapatikana wa kutosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…