Mtwara: Kamati ya Uchunguzi matukio ya mauaji yadai kubaini Polisi walimpora fedha mfanyabiashara wa madini

Hatua zichukuliwe kwa waliohusika na waliufumbia macho Hilo swala.

Nashauri,
Waanze na kule top layer kushuka huku chini[emoji4]
Yani yule dogo alidhulumiwa vibaya sana. Halafu alivyoenda kuomba arudishiwe hela yake wakamfungie na kumkaliisha chini kwenye safaku msaa kadhaa kabla ya kumuua.

Dogo mpambanaji kauwawa kikatili kisa hela yake aliyoipigania.

Allah mrehemu dogo na uwafanyie wepes familia yake.
 
Ripoti imeshathibitisha kuwa wanahatia ila cha ajabu mahakama nayo inakuja kuthibitisha ukweli usiokuwa na shaka yoyote.
Kwa wenzetu wachina wakiunda tume ikaja na ripoti hakuna kupoteza muda mahakamani. Hukumu inaanza kutekelezwa mara moja
China ya wapi hiyo mkuu ambayo haki inatolewa na tume?
 
Siro anajikomba kwa Rais wala hana issue, huyu mzee yupo tayari hata kumuua mama ake mbele ya cheo
 
Na hii nayo sijui itachukua muda gani hapa ngoja tuone pimbi wanavyofanya kazi yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…