masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,207
- 13,839
Pinga kwa akili basi habari iliyoandikwa.With all my respect kwako mkuu,chanzo chako ni gazeti hili la chooni!!!!gazeti hili nililiona ni uchafu lilipokoma kuandika to press watawala waseme ukweli mwandishi wao Azory Gwanda yupo wapi,na hadi leo gazeti hili limeshamsahau pamoja na familia yake!ohooo lipo wapi gazeti la Mfanyakazi, motomoto, Rai(sio uchafu huu wa sasa)Family mirror?
Yaani wewe mmoja ndio utushawishi ati tulione gazeti pendwa kuwa ni uchafu? Kaaaazi kwelikweli.With all my respect kwako mkuu, chanzo chako ni gazeti hili la chooni!!!!gazeti hili nililiona ni uchafu lilipokoma kuandika to press watawala waseme ukweli mwandishi wao Azory Gwanda yupo wapi, na hadi leo gazeti hili limeshamsahau pamoja na familia yake!ohooo lipo wapi gazeti la Mfanyakazi,motomoto,Rai(sio uchafu huu wa sasa) Family mirror?
Mbona uko nje ya mada mzeeWith all my respect kwako mkuu, chanzo chako ni gazeti hili la chooni!!!!gazeti hili nililiona ni uchafu lilipokoma kuandika to press watawala waseme ukweli mwandishi wao Azory Gwanda yupo wapi,na hadi leo gazeti hili limeshamsahau pamoja na familia yake!ohooo lipo wapi gazeti la Mfanyakazi, motomoto, Rai (sio uchafu huu wa sasa)Family mirror?
Certified criminals haoShocking askari zaidi ya saba kufanya uhalifu bila other chain of command kujua, vyombo vingine kuto detect na kuzuia tena yakitokea na kuanzia kwenye kuta za chombo muhimu kiusalama! Upo umuhimu CID itolewe Polisi iunde kitu kama FBI itaongeza kidogo check and balance.
Sidhani hata kama Mwaka umepita toka suala la Hamza wa Daraja la Salenda na Polisi halijaisha, tunasikia tena suala la Polisi na issue ya Madini na Uuaji? Haya yatokeayo si kwa bahati mbaya, ila ni mtandao wa kujipatia mali kwa kutumia nguvu uliojengeka ktk Jeshi letu la Polisi kwa mtazamo wangu.Inasikitisha sana.
Kazi ya Jeshi la Polisi ni KULINDA RAIA na MALI ZAO. Huyu Mtu kaporwa Mil.70 na kisha Akauawa na Askari
Kwanini Mzee Sirro Usiwajibike kwa MAOVU ya VIJANA WAKO?
View attachment 2094725
Inasikitisha sana.
Kazi ya Jeshi la Polisi ni KULINDA RAIA na MALI ZAO. Huyu Mtu kaporwa Mil.70 na kisha Akauawa na Askari
Kwanini Mzee Sirro Usiwajibike kwa MAOVU ya VIJANA WAKO?
View attachment 2094725
Laki 3 kwa mwezi....Hawa polisi sijui hawalipwi daah ni wasumbufu sana
Sidhani hata kama Mwaka umepita toka suala la Hamza wa Daraja la Salenda na Polisi halijaisha, tunasikia tena suala la Polisi na issue ya Madini na Uuaji? Haya yatokeayo si kwa bahati mbaya, ila ni mtandao wa kujipatia mali kwa kutumia nguvu uliojengeka ktk Jeshi letu la Polisi kwa mtazamo wangu.
Kwa mantiki hiyo, nadhani hii sio kwa bahati mbaya, bali nao wanafanya hivyo kwa kuiga namna kundi fulani linavyojipatia mali kutokana na nafasi zao walizo nalo. Kama Nchi, lazima tufahamu kuwa tuendako si salama, na kwa wanausalama wetu (Polisi) kuna shida kwa sasa. Liongelewe wazi na hatua zichukuliwe haraka.
Polisi wengi ni majambazi wendy unifomuWith all my respect kwako mkuu, chanzo chako ni gazeti hili la chooni!!!!gazeti hili nililiona ni uchafu lilipokoma kuandika to press watawala waseme ukweli mwandishi wao Azory Gwanda yupo wapi,na hadi leo gazeti hili limeshamsahau pamoja na familia yake!ohooo lipo wapi gazeti la Mfanyakazi, motomoto, Rai (sio uchafu huu wa sasa)Family mirror?
Polisi wetu wamekuwa vibaka na majambazi kwa mda mrefu sana.Inasikitisha sana.
Kazi ya Jeshi la Polisi ni KULINDA RAIA na MALI ZAO. Huyu Mtu kaporwa Mil.70 na kisha Akauawa na Askari
Kwanini Mzee Sirro Usiwajibike kwa MAOVU ya VIJANA WAKO?
View attachment 2094725
Policeccm ni wauaji wakubwa,vifo vingi vimetokea kuanzia 2015 chini ya meko,yani police walipewa nguvu kubwa sana mana jpm alikua anawategemea kutawala...angalia maiti za viroba,lwajabe,ben saanane,kanguye hatukuwahi kusikia ccm wakilalamikia mauaji haya....wameua sana kwa baraka za watawala ccmInasikitisha sana.
Kazi ya Jeshi la Polisi ni KULINDA RAIA na MALI ZAO. Huyu Mtu kaporwa Mil.70 na kisha Akauawa na Askari
Kwanini Mzee Sirro Usiwajibike kwa MAOVU ya VIJANA WAKO?
View attachment 2094725
Ndani ya mada ila kwa upande wa pili wa coin,unaleta mada hapa chanzo chake ni gazeti la Mwananchi!habari za kutoka gazeti hili always ninazuchukulia with a pich of salt!hazina ukweli na nyingi ni za kinafiki.Polisi wengi ni majambazi wendy unifomu
Leta gazeti lako unalodhani ndiyo yenye habari za kweli. Kama Uhuru iliwahi kutuhumiwa, sijui unamaanisha lipi ?!Ndani ya mada ila kwa upande wa pili wa coin,unaleta mada hapa chanzo chake ni gazeti la Mwananchi!habari za kutoka gazeti hili always ninazuchukulia with a pich of salt!hazina ukweli na nyingi ni za kinafiki.
Majambazi sugu kabisa!